The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Baada ya bwawa la Nyerere kukamilika hakutakuwa na haja ya kutumia gharama hizo kubwa kuja kujaza kibwawa kidogo Cha mtera kutokea Victoria..Jamaa ametoa wazo la kuwa na umeme wa uhakika,wewe unakngelea bei ya umeme-soma vitu uelewe kwanza kabla ya kukoment.
Sawa Magufuli alikataa huo mradi wa gas,mbona umeme ulikuwepo alitumia umeme wa chanzo gani??Miundombinu ya gesi ya mtwara ilikuwa tayari, kilichotakiw ni kuongeza tu uzalishaji - mwendazake naye akaja ya yake kwamba eti gesi yote ishauzwa kwamba tulipigwa vibaya sana - hivyo CCM wakamshauri aachane na huo mradi na bomba lao kisha aanzishwa mradi wake wa Rufiji ili ajizolee misifa kwamba umeme wa uhakika na bei nafuu, sasa mradi wenyewe umedoda.
Tanzania hatujui tunachokitaka !!
Itabid engineer uwe weweAwamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia...
Kuna Mikoa na Mikoa mkuu,hata Mimi hapa Mkoa niliko Wala Hakuna Cha mgao Wala Nini maana tunatumia umeme kutoka Nchi Jirani.Hizi kelele za mgao sijui zinatokea wapi, Nipo Dom kijijini umeme full time.
Tuendelee kula mema ya nchi mkuu.Kuna Mikoa na Mikoa mkuu,hata Mimi hapa Mkoa niliko Wala Hakuna Cha mgao Wala Nini maana tunatumia umeme kutoka Nchi Jirani.
Umeme unatakiwa sasa hivi achana na hadi bwawa kukamilika,hii Nchi ina upumbavu mwingi sana.kila Rais akija anafanya yake ambayo hayapo kwenye Mpango wa maendeleo wa Nchi-wanaishia kufuja pesa na mambo hayakamiliki.Baada ya bwawa la Nyerere kukamilika hakutakuwa na haja ya kutumia gharama hizo kubwa kuja kujaza kibwawa kidogo Cha mtera kutokea Victoria..
Kwa hiyo unaweza Anza kukaza Bomba Sasa hivi ukamaliza Sasa hivi na ukapata umeme Sasa hivi? Acha undezi..Umeme unatakiwa sasa hivi achana na hadi bwawa kukamilika,hii Nchi ina upumbavu mwingi sana.kila Rais akija anafanya yake ambayo hayapo kwenye Mpango wa maendeleo wa Nchi-wanaishia kufuja pesa na mambo hayakamiliki.
Huyu unayemtetea ndio kafanya upuuzi mkubwa wa kujenga bwawa la Nyerere wakati anajua fika kuna mabadiliko ya tabia nchi. Hayo maji ya bwawa la Nyerere na ukame huu yatatoka wapi kuendesha iyo mitambo.Tanzania na African zina shida sana kuanzia Wananchi mpaka wanao pewa dhamana,Duniani kote hamna nishati rahisi kupatikana kama Umeme...
Huyu unayemtetea ndio kafanya upuuzi mkubwa wa kujenga bwawa la Nyerere wakati anajua fika kuna mabadiliko ya tabia nchi. Hayo maji ya bwawa la Nyerere na ukame huu yatatoka wapi kuendesha iyo mitambo.
At what cost per BTU ? Yaani Tanesco kila Unit atakuwa ananunua nani kutoka kwa whomever owns the Gas ?Wakati gesi ipo Tele ...ni swala la kuongeza Tu generator za gesi baasi
Harafu acha upotoshaji wa kipumbavu..
Awamu ya 3 ya Mkapa ulitaka kubinafsisha Tanesco so uamzi wa mwisho haukufikiwa ndani Baraza la Mawaziri baadae wakaja...
Huyu unayemtetea ndio kafanya upuuzi mkubwa wa kujenga bwawa la Nyerere wakati anajua fika kuna mabadiliko ya tabia nchi. Hayo maji ya bwawa la Nyerere na ukame huu yatatoka wapi kuendesha iyo mitambo.
Unajua prediction ya miaka 30 ijayo unadhani iyo mito na mabwawa yataendelea kuwepo. Hapa ndio kwanza umeanza.Kwani umeambiwa ukame utadumu milele?
Pesa zinazotumika kujenga mradi wa Nyerere ndio zilibidi ziende kufanya iyo miradi ya gesi, solar na makaa ya mawe.Hoja ni nchi kutowaza umeme peke yake kuna vyanzo vingine kama makaa ya mawe, upepo, gesi, kote huko tuwe na uhakika wa kuzalisha nishati ya kutosha mahitaji, chanzo kimoja kikigoma tunahamia kingine bila kelele
Hoja ni nchi kutowaza umeme peke yake kuna vyanzo vingine kama makaa ya mawe, upepo, gesi, kote huko tuwe na uhakika wa kuzalisha nishati ya kutosha mahitaji, chanzo kimoja kikigoma tunahamia kingine bila kelele
Hawa wajinga wanaudhi sana jf siku imevamiwa eti Ethiopia wanatumia maji ya ziwa Victoria Ethiopia wana chanzo chao cha mto Nile ndo wanachangia 80% ya mto Nile .Muwe munaficha ujinga, sio lazima ushushe thread ya kujiaibibisha na kuaibisha Taasisi za Elimu Nchini.
Bora hata ungejikita Chit chat.
Pole, lakini umeniudhi.
Tanzania bado hamjakoma tu, mmetumbukiza ma trilion ya shilling kutengeneza chanzo kingine cha umeme wa maji, hivi mpo sawa kweli upstairs? wakati mna Gesi ya kumwaga, Makaa ya mawe ya kumwaga, mna Upepo wa hatari na pia mna jua kali ni balaa, vyanzo hivi vyote mmeona havifai si ndiyo.
CCM hebu acheni kutesa wananchi, hivi wamewakosea nini kulala gizani na kuoga kwa zamu ? afu kila siku mnaita wawekezaji wakati yaani na wao waje kuoga wa zamu kama sisi?
Halafu hilo Train la umeme litatembeaje kama hakuna umeme wa uhakika 100% au mtalifungia majenerator muweke na vituo vya kujazia huko njiani?
Tunaenda kama kuku aliyekatwa kichwaMiundombinu ya gesi ya mtwara ilikuwa tayari, kilichotakiw ni kuongeza tu uzalishaji - mwendazake naye akaja ya yake kwamba eti gesi yote ishauzwa kwamba tulipigwa vibaya sana - hivyo CCM wakamshauri aachane na huo mradi na hilo bomba lao kisha aanzishwa mradi wake wa Rufiji ili ajizolee misifa kwamba ametengeneza umeme wa uhakika kwa bei nafuu, sasa mradi wenyewe umedoda.
Tanzania hatujui tunachokitaka !!