Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

It just happenned kwani hujui ukichomeka na kumwagia ndani utapata mtoto?

Yani unasema "it just happenned" kama umepiga chafya kwa involuntary action?
 
Miaka 60 siyo mchezo, huyu Paskali siyo Mayalla, hakuna njaa hapo!
Mwenye shibe pekee ndiyo aweza kufanya hivyo!
Wengi siku hizi umri huo, anywe panadol, betri wabust na sulphuric acid! Taabu tupu
This is what we call a "humble brag".

"Look at me, a manly man. At nearly 60 I am still procreating. This is my 9th child"

And then blame it on the church!

Doubly irresponsible.
 
Mbona kaeleza Kila kitu, hujasoma Uzi wote uncomment. Kasema :
US ana 2
Bongo one kapiga 3
Bongo two kapiga 4
Haya jumlisha uone kama kazaa na mke mmoja watoto 8.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye, for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao. A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.
 
Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye, for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao. A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.
Acha kujidanganya wewe,unamjua Eddy Murphy,kwa taarifa yako ana watoto 10.And do you know how worth is he,he is never lonely,na hilo swala la kufa bitter or sweet death ni Mungu ndio anajua...
 
Acha kujidanganya wewe,unamjua Eddy Murphy,kwa taarifa yako ana watoto 10.And do you know how worth is he,he is never lonely,na hilo swala la kufa bitter or sweet death ni Mungu ndio anajua...
Amen.
P
 
Mbona kaeleza Kila kitu, hujasoma Uzi wote uncomment. Kasema :
US ana 2
Bongo one kapiga 3
Bongo two kapiga 4
Haya jumlisha uone kama kazaa na mke mmoja watoto 8.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , tena kitu ambacho sikukisema, hao 2 wa US, ni mimi ndiye nimekaa nao all the time mama yao anasoma.

Hao 3 wa Bongo 2 wametokea tuu (please don't ask how). Hivyo I have lived as single parent father of 5 for sometimes, hadi Bongo 3 alipotokea.

Kiukweli kabisa safari yangu ya maisha has been very hard, rough yenye milima na mabonde, na sasa ndio tunaelekea kwenye tambarare.
P
 
Kongole mkuu, agemate nadhani.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye,
Mkuu Goldschmidt , kwanza naomba kukubali nina watoto 9, sio kutamba, it's just kuwa open and honest.
for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao.
Kuna vitu sikusema, mimi sio wale ma baba wanao dump watoto, hao wa US wameishi na mimi muda wote mama yao akisoma. Hao Bongo 2, nimewalea mimi mwenyewe as a single parent father kabla Bongo 3 hajatokea.
A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.
Hili la nitakufaje sio lako, sio langu ni lake YEYE!.
P
 
Pasco., na hao wengine wengi waliobaki zaidi ya hao uliowataja? Unaishi nao nyumba moja leo hii? Ndiyo maana hata teuzi hupewi. Na Freemason membership sahau kama ulikuwa una mpango nao. Why have all these kids, with 3-4 different moms? Hata ku-bond nao inakuwa taabu. Ungekuwa USA ungefungwa sababu ungeshindwa kulipa child support kwa watoto wote hao.
 
Namuwazia huyu Mrembo aliyejitokeza kukupenda ukiwa kwa wheel chair,

sijui hata ulimpatia wapi Pascal,zawadi uliyompa naona ni kubwa ila bado
she deserves more...

Hapo kwenye watoto safi,its my plan wangu wafike 10 "watafikaje"? sijui! ninachojua

lazima niwe na watoto 10 na wote nitawapata angali ni Kijana, "biblia itanisamehe eneo hili"

Akili na mawazo yangu ni kwa huyo malkia uliyem bahatsha,ukskia one in a million ndio huyo sasa!

Happy Birthday Pascal.
 
Kila unae muuliza kwann anataka watoto 2-3 na wachache sana watakwambia

ikitokea bahati mbaya tena anasisitiza kweli Mwisho 4,sababu zao ukiwaskiliza

eti "maisha magumu" maisha unayaona haya, hawana sababu nyingine zaidi ya hyo

Nimekataa asee, i want 10 Mungu akjalia 10+, Nitafute pesa ziishie lipa wafanyakazi

Ni heri nijue hela nalipa wanangu,nitamwaga pesa kwa wanangu si kwa watu baki,siwezi

Tafuta pesa kiasi hiki angali ni kijana hivi halafu niwe na vtoto vi 3, Vitaweza maliza hizi hela

au ndio kutafutia watoto waanze fanya Fujo na kufuja pesa for no reason kisa zipoo, Nooo, Pascal

uko njema sana, na Hamna kusomesha mtoto kayumba Last Born peleka huko US yeye ndio avunje Record kupata Elimu Bora kuliko wote.

Bado nitakupongeza sana hapa akilini mwangu nimekuwazia,huyo last born wangekuja Twins hesabu ikae sawa 10. but hata hyo 9 si haba Its your turn sasa kuwaonyesha hao watoto wote uliwaleta Duniani uliwahitaji na hawakuja kwa bahati mbaya,keep them Busy.

Support Them,tumia pesa yako kwao you have nothing pascal prove to your kids kwamba hukuwaleta duniani kwa bahati mbaya,hamna kutilia tilia Huruma, King of the Jungle prove kwao hilo.
 
Pascal kumbe bado una.mbegu hai.ngoja nikutafute bna na ulivo handsome mzee utakuwa umepata bonge la toto
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…