Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuna Kapuya na mzee wa kiraracha nadhani Paskali hujawafikia hao. Zaa Tena!Babu yangu alizaa na miaka 80, hongera mkuu
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Kapuya na mzee wa kiraracha nadhani Paskali hujawafikia hao. Zaa Tena!Babu yangu alizaa na miaka 80, hongera mkuu
Tabia za Elon musk ni kisauzi sauzi Africa. Kwa iyo kwy suala la uzazi ana upuuuzi wa kiafricaZaa tu.
Elon ana miaka 50 na amesema ataendelea kuzaa
Zaa kama unaweza
Mama yao kijana halafu wanyarwanda siyo wabantu Wana akili Sana.Uongo mtupu. Reginald Mengi kazaa na miaka 70+ na watoto wake ni magenius darasani.
Mwanaume hana mwisho wa kuzaa (menopause)mradi tu aiweze shughuli ya kitandani na mbegu zitokeBabu yangu alizaa na miaka 80, hongera mkuu
It just happenned kwani hujui ukichomeka na kumwagia ndani utapata mtoto?Kiukweli kuwa M Catholic sikupanga imetokea tuu nimezaliwa nikanikuta nimezaliwa kwenye I Catholic.
Pili nakubalina na wewe, kuna ujinga mwingi kwenye baadhi ya mafundisho ya dini ya baadhi ya madhehebu tukiwemo sisi Wakatoliki.
Catholics, haturuhusiwi kutumia any birth control zozote, hivyo wa Catholics wowote wanaotumia kinga yoyote, including withdrawal ni dhambi!.
Hivyo kuna Catholics wengi wanatenda sana dhambi za mauaji ya watoto watarajiwa wakiwa kwenye stage ya mbegu.
Kwangu ni afadhali kuangamiza mbegu ili kuzuia kuliko kuua kiumbe baada ya kutungwa!.
Hivyo kwetu it just happened and we had choice to terminate it, but sisi, both of us, mimi na wife wangu ni ma pro life sio ma pro choice.
P
This is what we call a "humble brag".Miaka 60 siyo mchezo, huyu Paskali siyo Mayalla, hakuna njaa hapo!
Mwenye shibe pekee ndiyo aweza kufanya hivyo!
Wengi siku hizi umri huo, anywe panadol, betri wabust na sulphuric acid! Taabu tupu
Kiranga hata humwachii Paschal jamani!This is what we call a "humble brag".
"Look at me, a manly man. At nearly 60 I am still procreating. This is my 9th child"
And then blame it on the church!
Doubly irresponsible.
Hapana, yeye ndiye kaamua kutotuachia hapa kwa "humble brag" yake.Kiranga hata humwachii Paschal jamani!
Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye, for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao. A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.Mbona kaeleza Kila kitu, hujasoma Uzi wote uncomment. Kasema :
US ana 2
Bongo one kapiga 3
Bongo two kapiga 4
Haya jumlisha uone kama kazaa na mke mmoja watoto 8.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Acha kujidanganya wewe,unamjua Eddy Murphy,kwa taarifa yako ana watoto 10.And do you know how worth is he,he is never lonely,na hilo swala la kufa bitter or sweet death ni Mungu ndio anajua...Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye, for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao. A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.
Amen.Acha kujidanganya wewe,unamjua Eddy Murphy,kwa taarifa yako ana watoto 10.And do you know how worth is he,he is never lonely,na hilo swala la kufa bitter or sweet death ni Mungu ndio anajua...
Mkuu Kadhi Mkuu 1 , tena kitu ambacho sikukisema, hao 2 wa US, ni mimi ndiye nimekaa nao all the time mama yao anasoma.Mbona kaeleza Kila kitu, hujasoma Uzi wote uncomment. Kasema :
US ana 2
Bongo one kapiga 3
Bongo two kapiga 4
Haya jumlisha uone kama kazaa na mke mmoja watoto 8.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Amen, asante sana, thanksAsante kwa somo zuri!
Lakini hata hivyo huwezi kuzuia mpango wa Mungu wa kuleta mtu anayemtaka duniani hata kama ungekuwa na miaka mingapi! Kwa hiyo hongera kwa kupata mtoto,mengine mwachie Muumba.
Kongole mkuu, agemate nadhani.Mkuu Kadhi Mkuu 1 , tena kitu ambacho sikukisema, hao 2 wa US, ni mimi ndiye nimekaa nao all the time mama yao anasoma.
Hao 3 wa Bongo 2 wametokea tuu (please don't ask how). Hivyo I have lived as single parent father of 5 for sometimes, hadi Bongo 3 alipotokea.
Kiukweli kabisa safari yangu ya maisha has been very hard, rough yenye milima na mabonde, na sasa ndio tunaelekea kwenye tambarare.
P
Mkuu Goldschmidt , kwanza naomba kukubali nina watoto 9, sio kutamba, it's just kuwa open and honest.Kwa hali hiyo, kafeli vibaya sana. Hao viumbe wote anaojitapa ni wanaye,
Kuna vitu sikusema, mimi sio wale ma baba wanao dump watoto, hao wa US wameishi na mimi muda wote mama yao akisoma. Hao Bongo 2, nimewalea mimi mwenyewe as a single parent father kabla Bongo 3 hajatokea.for very obvious reasons, hana significant emotional father-child relationships nao.
Hili la nitakufaje sio lako, sio langu ni lake YEYE!.A serial philanderer of his kind always ends up dying a lonely and bitter death.
Pasco., na hao wengine wengi waliobaki zaidi ya hao uliowataja? Unaishi nao nyumba moja leo hii? Ndiyo maana hata teuzi hupewi. Na Freemason membership sahau kama ulikuwa una mpango nao. Why have all these kids, with 3-4 different moms? Hata ku-bond nao inakuwa taabu. Ungekuwa USA ungefungwa sababu ungeshindwa kulipa child support kwa watoto wote hao.Mkuu Goldschmidt , kwanza naomba kukubali nina watoto 9, sio kutamba, it's just kuwa open and honest.
Kuna vitu sikusema, mimi sio wale ma baba wanao dump watoto, hao wa US wameishi na mimi muda wote mama yao akisoma. Hao Bongo 2, nimewalea mimi mwenyewe as a single parent father kabla Bongo 3 hajatokea.
Hili la nitakufaje sio lako, sio langu ni lake YEYE!.
P
Mpuuzi wewe. Unalinganisha Vitz na BMW X7?Acha kujidanganya wewe,unamjua Eddy Murphy,kwa taarifa yako ana watoto 10.And do you know how worth is he,he is never lonely,na hilo swala la kufa bitter or sweet death ni Mungu ndio anajua...