Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Rais Magufuli Mungu azidi kukulinda.Hakika mkuu.View attachment 1580908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli Mungu azidi kukulinda.Hakika mkuu.View attachment 1580908
Sawa mzee babaHakika mkuu.View attachment 1580908
Sawa mkuu.Hayo ndio malezi.Unampa mtoto principles Justice atajifunza mwenyewe
Aiseee! Jana tu nimenunua remote nyingine sababu hiyo ila kujua nan ameng'ata ni mtihaniJust imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu...
Mkuu,unapomlea mtutu,unapomuadhibu mtoto,unpoongea mtoto,lengo lako la msingi ni nini?Mimi Mtoto wangu kuanzia umri wa 0- 5 ni bakora kisha aongezi then 6-10hapo maongezi kisha bakora.Akifika 10+ ni maongezi na kofi moja akifika 3+ tunajadiliana akiwa na uwezo wa kubuild case yake,akawa muwaza na akaonesha kujiamini basi tunarekebishana vizuri tu.Binafsi naamini kwamba Katika malezi bakora ni muhimu ila sio lazima.ILA NAAMINI KWA ASILIMIA 1000 kwamba mzazi hakosei katika malezi.NEVER.Ukiona umemuadhibu mtoto kwa kosa ambalo hajafanya ujue ana role ameplay kwenye hilo kosa ila huna ushahidi.Malezi sio kuhusu ushahidi ni kuhusu PRINCIPLES.Siwezi kumuadhibu mtoto pasipo kuwa na kikao Cha maongezi Kati yangu na yeye..lazima niongee Naye na nijue Kama amekosea au lah..Kama amekosea nitamkanya au kumdunda kabisa na kumwambia alichofanya si sahihi..uzuri huyu kijana wangu anaelewa Sana na hata akikosea Ni mwepesi kukubali kakosea.
Bado sijakutana na hali ya kuomba msamaha kwa mtoto.
Sawa mkuu...Siyo utamaduni wetu huo...
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu. Utamaduni wetu sasa ni upi?Hayo ni Mambo ya mabeberu
I concur bro...Yaani kupitia hii mada ndio tunapata majibu kwa nini jamii siku hizi maadili ni sifuri.
Sawa mkuu ngoja wadau waje.Ngoja tuendelee kupata majibu zaidi
Hahahahaha daaah hii ya wapi tena mkuu?Yaani kuna watoto wengine malezi wanayopewa ukimuomba msamaha anataka na yeye pia akutandike
Mkuu hapana mkuu.Mtoto akikosewa anaombwa msamaha kabisa,yeye ndipo anapojifunza kuwa akikosea naye aombe msamaha.maisha ya famiia ni uwazi na ukweli ndiyo hunogesha mahusiano,hata km ni mtoto wa kindergaten unamwomba tuu.mf ohh mwanangu nilikosea nilipokugombeza kumbe siyo wewe uliyemwaga maziwa,nisamehe mwanangu,then una mb
mzazi hakosei? Kwani kuna mzazi malaika? Hapo tunajifariji kwa ajili ya kuogopa kushuka,shuka ndugu hapo ndipo penye unyenyekevu
Naaam mkuu...Mkuu hapana mkuu.
Mtoto haombwi msamaha aisee,
Kwanza kwa nini umkosee mtoto ?
Nadhani umetumia hisia sana kuandika hapa. Kunywa maji ya kutosha relax.Lini hii nchi iliwahi kuwa na maadili mazuri?
Ndio maana tuna taifa la viongozi na wananchi waongo, wakaidi, wanafiki na makatili kwa sababu walifanyiwa ukatili utotoni. Walipuuzwa na kusiginwa akili zao.
Mtoto anapaswa kujua maana na thamani ya kuomba msamaha na kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya. Atambue kosa ni nini na kwanini naadhibiwa!
Sio kupiga piga tu watoto hovyo kama ng'ombe. Wakiwa wakubwa wanageuka kuwa haya majambazi yasiyotaka hata kukosolewa.
Kumbe chanzo ni udikteta wa baba nyumbani!