Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka ndotoni Mkuu Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta Ccm ushindi ni 98%.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?
Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?
(1) Just imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu? Au;
(2) Mwanao umemkosea ulipomgombeza kumbe siyo yeye aliyemwaga maziwa...!!!!!
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto unafanya nini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Baadhi ya maoni ya wadau
=========
Tumpongeze Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?
Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?
(1) Just imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu? Au;
(2) Mwanao umemkosea ulipomgombeza kumbe siyo yeye aliyemwaga maziwa...!!!!!
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto unafanya nini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Baadhi ya maoni ya wadau
=========
njoo jiunge ccm brotherHebu acha utoto brother!
Udikteta huu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napotezea tu na tena ikiwezekana naweza hata kumtafutia sababu nyingine ya Kimakusudi ili akosee kisha nimchape vizuri na nimpe Adhabu tena.
Watoto wana changamoto sana mkuuUdikteta huu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Akina junio hawapigwi hata wafanye kosa, ila kina mawazo, sikujua, mwamedi, hao ni vichapo tu awe amefanya kosa au ana dalili za kufanya kosa.
Naomba jina la movie Leo nko na bundle la bure niingie YouTube chap[emoji1][emoji1]Namwambiaga JUNIOR come on My son,haya chukua hio remort ya tv ipigize chini kwa hasira na ukimaliza hapo Chukua miwani yangu uivunje hasira zikuishe maana nimekuonea sana,sawa JUNIOR?
Nae anaitikia Yes DADDY.
Nitakupa 100,000Utanipa shingap?
SikuHayo ni malipo ya wiki au siku?
pouwaaaasawa
Hahhhahhhahhaa [emoji23][emoji23][emoji23]dddah. Nimecheka balaa.Akina junio hawapigwi hata wafanye kosa, ila kina mawazo, sikujua, mwamedi, hao ni vichapo tu awe amefanya kosa au ana dalili za kufanya kosa.
Mrembo maaaambo?Hahhhahhhahhaa [emoji23][emoji23][emoji23]dddah. Nimecheka balaa.