Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

Utapewa karatasi ya kura hakikisha unampa vema Magufuli na Ccm.
 
Magufuli ndio mwamba na vijana wanamuita Baba lao.
 
Rais Magufuli anafanya kazi ya ziada kuhusu ardhi na sasa inarudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi waliteseka sana.
 
Mkuu utafiti umefanyika, km Uchaguzi utafanyika kesho tayari Rais Magufuli anashinda kwa 99%.
 
Wageni karibuni Tanzania chini ya Mzalendo Magufuli.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu Watanzania eti;

Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?

Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

(1) Just imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu? Au;

(2) Mwanao umemkosea ulipomgombeza kumbe siyo yeye aliyemwaga maziwa...!!!!!

Ukigundua kuwa umemkosea mtoto unafanya nini?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Baadhi ya maoni ya wadau
=========
Amka ndotoni Mkuu Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta Ccm ushindi ni 98%.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu Watanzania eti;

Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?

Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

(1) Just imagine umemchapa mtoto kwa kumhisi anang'ata buttons za remote controller ya TV kumbe sio yeye bali ni panya ndio wanaharibu? Au;

(2) Mwanao umemkosea ulipomgombeza kumbe siyo yeye aliyemwaga maziwa...!!!!!

Ukigundua kuwa umemkosea mtoto unafanya nini?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Baadhi ya maoni ya wadau
=========
Tumpongeze Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.
 
Namwambiaga JUNIOR come on My son,haya chukua hio remort ya tv ipigize chini kwa hasira na ukimaliza hapo Chukua miwani yangu uivunje hasira zikuishe maana nimekuonea sana,sawa JUNIOR?

Nae anaitikia Yes DADDY.
Naomba jina la movie Leo nko na bundle la bure niingie YouTube chap[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom