Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

unaongea kitu usichokijua halaf unaongea kwa kujiamin yan😀😀 tangu lini elimu ngazi ya cheti na diploma wakatoa NACTE
Mkuu
Veta wanasimamia NTA Level 1-3
Nacte 4-6
Tcu 7-..

Certificate na diploma inasimamiwa na Nacte "baraza la mafunzo ya ufundi"
Na sio Necta "baraza la mitihani".
 
Nitafute nikusaidie Ila uwe na mfuko WA MB ,njoo PM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bila shaka umeamka salama mkuu.

Kwa wale wa upande Afya, mumefanikiwaje kujaza taarifa za chuo. Chuo nakipata ila kozi inagoma kupatikana hivyo nakwama kwenda mbele.
Hapo n mtandao ndo mbovu, ht mm mara ya kwanza ilikuwa unazingua kuleta course
 
Naomba kituko kingine kama hichi 😁😁
Mm nna diploma in film production na ipo chini ya TCU

Inategemea dip yako umesomea wap, Kama umesomea Ud,Udom,sua,Saut ,Tia,ifm ni TCU lakini,

Vipo vilivyo pia chini ya NACTE NA NECTA
 
Hapo n mtandao ndo mbovu, ht mm mara ya kwanza ilikuwa unazingua kuleta course

Sio hivyo, kila wakati IT wa Tamisemi Wana update course ktk vyuo mbalimbali,

Na mpaka Sasa Kuna vyuo bado hawajaweza course zake, wanaendelea na zoezi,

Note: usiweke course ambayo hujaisoma au ambayo IPO tofauti na Cheti chako
 
Diploma elimu msingi na certificate ni NECTA ndo watoaji
Sehemu ya "accredited by" weka NECTA kama ni diploma au certificate baada ya hapo reg number itaweza kuwa verified kwa urahisi uendelee mbele. Japo pia kwenye selection za mikoa Kuna changamoto Mimi ndo nimekwama
Acha kupotosha watu, Diploma na Certificate wapo chini ya NACTE
Jamani n vyuo gani hvy diploma inasimamiwa na Nacte.? Em vitajeni tuvijue mana mm nna diploma lkn ni chini ya TCU
 
Nimefikia kwenye machaguo ya mikoa, naomba ujuzi wenu hapa nizingatie nn
Chagua ile mikoa ambayo haina upinzani@haitochaguliwa na wengi.

Mikoa kama Songwe, Katavi, Rukwa, Lindi, Kigoma haiwezi kuchaguliwa na wengi.

Ila mikoa kama Dsm, Arusha, Kilimanjaro, Pwani lazima iwe na wachaguzi wengi.

#YNWA
 
Jamani n vyuo gani hvy diploma inasimamiwa na Nacte.? Em vitajeni tuvijue mana mm nna diploma lkn ni chini ya TCU

Mtandao unao, tumia akili Google ili uvitambue,

Nakupa mfano; Marangu teachers college IPO chini ya NECTA,Zayoni college IPO chini ya NACTE,TIA IPO chini ya TCU lakini mwanzo ilikuwa NACTE pia
 
Inategemea dip yako umesomea wap, Kama umesomea Ud,Udom,sua,Saut ,Tia,ifm ni TCU lakini,

Vipo vilivyo pia chini ya NACTE NA NECTA
Mtandao unao, tumia akili Google ili uvitambue,

Nakupa mfano; Marangu teachers college IPO chini ya NECTA,Zayoni college IPO chini ya NACTE,TIA IPO chini ya TCU lakini mwanzo ilikuwa NACTE pia
Sawa hapa sasa ndo nmeelewa mana mm diploma yangu ni UDOM
Sio hivyo, kila wakati IT wa Tamisemi Wana update course ktk vyuo mbalimbali,

Na mpaka Sasa Kuna vyuo bado hawajaweza course zake, wanaendelea na zoezi,

Note: usiweke course ambayo hujaisoma au ambayo IPO tofauti na Cheti chako
Ndo maana nikasema mtandao n mbovu kumaanisha kuna vitu havijakaa sawa
Sitaki anilipe, nataka Awe na MB Tu ,that's all
Hahahaha sasa kama yupo mkoa tofauti na wako hizo MB zitakusaidia nn
 
Sawa hapa sasa ndo nmeelewa mana mm diploma yangu ni UDOM

Ndo maana nikasema mtandao n mbovu kumaanisha kuna vitu havijakaa sawa

Hahahaha sasa kama yupo mkoa tofauti na wako hizo MB zitakusaidia nn

Hadi Sasa hujui, Kama MB tunashare hata Kama upo mpakani kigoma?

Upo dunia gani wewe?
 
Inategemea vipo vya NACTE na Necta PIA
Mkuu naomba msaada mimi nimewasaidia Dada zangu wawili kuaply elimu Sasa tukafungua akaunti na tukaletewa username za kutumia ambazo Ni namba za nida kwa kila mmoja Sasa ishu ikaja mmoja tumemaliza zote zinasoma [emoji817] lakini taarifa zake mwazoni kabisa Namba ya Nida inakuja Ni ya mwingine japo taarifa nyingine Kama majina ,sehemu, picha ,tarh vyote Ni vyake Sasa sijui tatizo Ni nin ,lakini huyu mwingine kwenye kuhakiki taarifa za nida wanasema Nida already exist naombeni msaada wakuu.
 
Mkuu hii inakuaje hukuti kozi husika uliyosoma kwenye mfumo? Mfano mi nimesoma PGDE sasa nikijaza chuo ile sehemu ya kuselect course haiji PGDE zinakuja kozi tofauti kabisa ila ni za elimu hasa diploma ,inakuaje hii??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya mtandao tu hiyo Wala isikupe hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…