Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Jamani kwenu mfumo unafunguka sasa hivi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuunaongea kitu usichokijua halaf unaongea kwa kujiamin yan😀😀 tangu lini elimu ngazi ya cheti na diploma wakatoa NACTE
Habar za asubuh ndugu.Nilikua na mpango wa kuamkia stationary,nimempigia mhusika anasema mtandao bado unasumbua mpaka jana hajafanikiwa kumfanyia mtu aplication.Mnanishauri nini?Naomben wenye uzoefu Na hili jambo wanipe ushaur nianzie wapi.
N.B.Sina Laptop,Nina Simu Yenye uwezo kias,japo netwk napoish ipo chini /saiz ya kati.
Diploma elimu msingi na certificate ni NECTA ndo watoaji
Naomba kituko kingine kama hichi 😁😁Certificate na diploma inasimamiwa na Nacte "
Nenda straight. sema akulipe, mambo ya mfuko wa MB ndo nnNitafute nikusaidie Ila uwe na mfuko WA MB ,njoo PM
Hapo n mtandao ndo mbovu, ht mm mara ya kwanza ilikuwa unazingua kuleta course[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka umeamka salama mkuu.
Kwa wale wa upande Afya, mumefanikiwaje kujaza taarifa za chuo. Chuo nakipata ila kozi inagoma kupatikana hivyo nakwama kwenda mbele.
Naomba kituko kingine kama hichi 😁😁
Mm nna diploma in film production na ipo chini ya TCU
Hapo n mtandao ndo mbovu, ht mm mara ya kwanza ilikuwa unazingua kuleta course
Nenda straight. sema akulipe, mambo ya mfuko wa MB ndo nn
Diploma elimu msingi na certificate ni NECTA ndo watoaji
Sehemu ya "accredited by" weka NECTA kama ni diploma au certificate baada ya hapo reg number itaweza kuwa verified kwa urahisi uendelee mbele. Japo pia kwenye selection za mikoa Kuna changamoto Mimi ndo nimekwama
Jamani n vyuo gani hvy diploma inasimamiwa na Nacte.? Em vitajeni tuvijue mana mm nna diploma lkn ni chini ya TCUAcha kupotosha watu, Diploma na Certificate wapo chini ya NACTE
Chagua ile mikoa ambayo haina upinzani@haitochaguliwa na wengi.Nimefikia kwenye machaguo ya mikoa, naomba ujuzi wenu hapa nizingatie nn
Jamani n vyuo gani hvy diploma inasimamiwa na Nacte.? Em vitajeni tuvijue mana mm nna diploma lkn ni chini ya TCU
Inategemea dip yako umesomea wap, Kama umesomea Ud,Udom,sua,Saut ,Tia,ifm ni TCU lakini,
Vipo vilivyo pia chini ya NACTE NA NECTA
Sawa hapa sasa ndo nmeelewa mana mm diploma yangu ni UDOMMtandao unao, tumia akili Google ili uvitambue,
Nakupa mfano; Marangu teachers college IPO chini ya NECTA,Zayoni college IPO chini ya NACTE,TIA IPO chini ya TCU lakini mwanzo ilikuwa NACTE pia
Ndo maana nikasema mtandao n mbovu kumaanisha kuna vitu havijakaa sawaSio hivyo, kila wakati IT wa Tamisemi Wana update course ktk vyuo mbalimbali,
Na mpaka Sasa Kuna vyuo bado hawajaweza course zake, wanaendelea na zoezi,
Note: usiweke course ambayo hujaisoma au ambayo IPO tofauti na Cheti chako
Hahahaha sasa kama yupo mkoa tofauti na wako hizo MB zitakusaidia nnSitaki anilipe, nataka Awe na MB Tu ,that's all
Sawa hapa sasa ndo nmeelewa mana mm diploma yangu ni UDOM
Ndo maana nikasema mtandao n mbovu kumaanisha kuna vitu havijakaa sawa
Hahahaha sasa kama yupo mkoa tofauti na wako hizo MB zitakusaidia nn
Em naomba huo ujuzi wa kushea bando hata mtu akiwa mkoani, sikujua hiloHadi Sasa hujui, Kama MB tunashare hata Kama upo mpakani kigoma?
Upo dunia gani wewe?
Mkuu naomba msaada mimi nimewasaidia Dada zangu wawili kuaply elimu Sasa tukafungua akaunti na tukaletewa username za kutumia ambazo Ni namba za nida kwa kila mmoja Sasa ishu ikaja mmoja tumemaliza zote zinasoma [emoji817] lakini taarifa zake mwazoni kabisa Namba ya Nida inakuja Ni ya mwingine japo taarifa nyingine Kama majina ,sehemu, picha ,tarh vyote Ni vyake Sasa sijui tatizo Ni nin ,lakini huyu mwingine kwenye kuhakiki taarifa za nida wanasema Nida already exist naombeni msaada wakuu.Inategemea vipo vya NACTE na Necta PIA
Mkuu hii inakuaje hukuti kozi husika uliyosoma kwenye mfumo? Mfano mi nimesoma PGDE sasa nikijaza chuo ile sehemu ya kuselect course haiji PGDE zinakuja kozi tofauti kabisa ila ni za elimu hasa diploma ,inakuaje hii??unatakiwa ujaze jina la chuo linaloonekana kwenye system yaani ukiandika neno(herufi) za mwanzo wa jina la chuo, system yenyewe inamalizia jina lote la chuo likiwa na namba ya usajili wa chuo. Kwa hiyo unachagua jina hilo lililoonekana kwenye system, baada ya hapo sehemu ya kujaza kozi zitaoneka kozi mbalimbali lakini unatakiwa kuchagua kozi moja uliyosomea. Kama ulisomea bachelor type sehemu ya kuchagua kozi bachelor, system yenyewe italeta kozi za bachelor, kama ni diploma andika dip system yenyewe italeta kozi za diploma utachagua uliyosoma.
NB: Usiandike jina la chuo manually hakikisha unachagua linaloonekana kwenye system. Pia Usiandike manually jina la kozi uliyosomea. Usipofanya hivyo hutaweza kuendelea mbele zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya mtandao tu hiyo Wala isikupe hofuMkuu naomba msaada mimi nimewasaidia Dada zangu wawili kuaply elimu Sasa tukafungua akaunti na tukaletewa username za kutumia ambazo Ni namba za nida kwa kila mmoja Sasa ishu ikaja mmoja tumemaliza zote zinasoma [emoji817] lakini taarifa zake mwazoni kabisa Namba ya Nida inakuja Ni ya mwingine japo taarifa nyingine Kama majina ,sehemu, picha ,tarh vyote Ni vyake Sasa sijui tatizo Ni nin ,lakini huyu mwingine kwenye kuhakiki taarifa za nida wanasema Nida already exist naombeni msaada wakuu.
Nakubal