Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Duh nilikua nishasahu kabisa kama kuna dirisha dogo la usajiri maana siyo kwa minyoosho hii ya tamisemi
 
Pia naomba msaada kuna bwana mdogo namfanyia application kada ya afya ila nimepata changamoto kwenye option la chaguo la muombaji (kuchagua mikoa)
ukibofya mikoa haiji
naomba msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…