Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Walimu wa kiswahili na geography wanaruhusiwa kuomba somo moja tu. Ukiweka moja lingine linakataa
 
Ilinibidi nicheke tu ndugu yangu
Hii nchi vichaa wengi sana
nadhani ni muda wa kuwa pigia simu tamisemi ili kupata jibu sahihi kuhusu marian university college kwenye course bachelor of education in science .
 
nadhani ni muda wa kuwa pigia simu tamisemi ili kupata jibu sahihi kuhusu marian university college kwenye course bachelor of education in science .
Yani apo ndo shida ilipo
Itabid wapigiwe
 
mbona machaguo ya sehemu za kazi hazionekani baada ya kutuma na zimeenda successful
 
Kuna shule nimekutana nayo wameomba watu 400+ na nafasi ni 1 πŸ˜‚πŸ˜‚ mpaka nikachoka
Hapa bila mganga, wanyonge hakuna kutoboa
 
Msaaada: je school laboratory techincian wanaruhusiwa kuomba ajira????
Na kwa utaratibu upi msaada?
 
Hizi ni hofu kutokana na mtu kukosa nafasi kwa muda mrefu jambo ambalo linamfanya awe na wasiwasi na kila anachokifanya
Haya mambo yanakatisha tamaa sana, unakuta mtu n mwaka wa 22 huu anaomba ajira lkn bado anaangukia pua na hajui anapokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…