Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Walimu wa kiswahili na geography wanaruhusiwa kuomba somo moja tu. Ukiweka moja lingine linakataa
 
Kipengele hicho cha registration no ni ipi wakuu
Screenshot_20220425-074203.jpg
 
Ilinibidi nicheke tu ndugu yangu
Hii nchi vichaa wengi sana
nadhani ni muda wa kuwa pigia simu tamisemi ili kupata jibu sahihi kuhusu marian university college kwenye course bachelor of education in science .
 
nadhani ni muda wa kuwa pigia simu tamisemi ili kupata jibu sahihi kuhusu marian university college kwenye course bachelor of education in science .
Yani apo ndo shida ilipo
Itabid wapigiwe
 
mbona machaguo ya sehemu za kazi hazionekani baada ya kutuma na zimeenda successful
Screenshot_20220425-140035.jpg
 
Kuna shule nimekutana nayo wameomba watu 400+ na nafasi ni 1 😂😂 mpaka nikachoka
Hapa bila mganga, wanyonge hakuna kutoboa
 
unatakiwa kufungua akaunti mpya utabonyeza JISAJILI kama picha inavyoonyesha hapo chiniView attachment 2196224
baada ya hapo utaingiza email yako kisha hakikisha pasword unayoweka inamchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo alama za uandishi pamoja na namba.... mfano 123@MHAndo utaweka na namba yako ya simuView attachment 2196225
kisha itafuata sehemu ya kuthibitisha taarifa zako za NIDA hapo utaingiza namba yako ya nida yatafuata maswali...ili wawe na uhakika kama wewe ndio mwenye namba hiyo ya nida...ukivuka hapo utakuwa teyari umeshafungua akaunti....

baada ya kufanikiwa kufungua akaunti ukitaka kulog in utaingiza namba yako ya nida bila vile vialama vya toa... mfano 200021214120000824
Msaaada: je school laboratory techincian wanaruhusiwa kuomba ajira????
Na kwa utaratibu upi msaada?
 
Hizi ni hofu kutokana na mtu kukosa nafasi kwa muda mrefu jambo ambalo linamfanya awe na wasiwasi na kila anachokifanya
Haya mambo yanakatisha tamaa sana, unakuta mtu n mwaka wa 22 huu anaomba ajira lkn bado anaangukia pua na hajui anapokosea
 
Back
Top Bottom