Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

KWA mbali matumaini yameanza kujionyesha baada ya kungoja kwa zaidi ya lisaa
 
Kazi kweli kweli. Ngoja nilale tu. Mana nimevuta subira wapi, kazi tunayo system ina load bila ya kuonesha dalili za ku login hatari. Unakodoa macho hadi unajikuta unakosa nguvu sasa😎😎
muda huu imeniandikia unauthorized kwa akaunti ambayo mchana nilikuwa naweza kuingia....hii system yakiboya sana
 
saa 8;47 za usiku yani hapo ndio usiku wa manane wenyewe huu sasa baada ya uvumilivu kidogo kumejitokeza mwanaga
 
maswali ya nida ni ya kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…