X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #701
SIO MBAYA ila ikitokea umeamua kuifuta shule moja wakati wa kurudisha shule nyingine lazima uweke tena barua...Kwahyo mkuu vp ambaye amechagua kwanza shule zote 5 kisha ndo akaweka hiyo barua moja tu kwa shule zote?
Ok poapoa.SIO MBAYA ila ikitokea umeamua kuifuta shule moja wakati wa kurudisha shule nyingine lazima uweke tena barua...
ndio...kuna wale ambao walikuwa wanachagua shule moja moja na kusave...ukirudi baada itakulazimu tena uweke baruaNasemea hapo kwenye kuweka barua kwenye kila shule uliyochagua
Yah hy naelewa ukifanya mabadiliko n lazima uweke barua, kwa mtu ambaye hajui na jinc ulivoandika ile comment ya kwanza anaweza kudhani n unaandika barua kulingana na shule unayoomba, mf: shule inaitwa TiaNia bc barua nayo ionyeshe kuwa unaomba kazi kwenye shule inayoitwa TiaNia, na nyingine hvy hvy mpaka zimalizike zote 5ndio...kuna wale ambao walikuwa wanachagua shule moja moja na kusave...ukirudi baada itakulazimu tena uweke barua
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuukisha kamilisha inajituma yenyewe...utaona imeandikwa maombi yako yamekamilika na kutumwa...kama kiambatanishi hapo chini kinavyoonyeshaView attachment 2202001
pamoja sana mkuuAhsante kwa ufafanuzi mkuu
Mkuu mimi nimechagua kwanza shule nikasave kwa pamoja ndio nikaweka barua.ndio...kuna wale ambao walikuwa wanachagua shule moja moja na kusave...ukirudi baada itakulazimu tena uweke barua
hamna badilisha tu...barua shule ziache..usije ukaikimbia bahatiMkuu mimi nimechagua kwanza shule nikasave kwa pamoja ndio nikaweka barua.
Sasa nilikuwa nataka nibadilishe barua niweke nyingine maana kuna sehemu nimegundua makosa.
Je nikiweka barua mpya nitatakiwa na shule nichague upya?
INALETA NOTIFICATION GANI...??Jamani msaada kwenye kuapload cheti cha fani kwangu inakataa kwenye completed year na nikiwapigia hawapokei kada ya afya
Haileti notification yoyote isipokua hainiletei completed year na sehem ya kuattach vyet. View attachment 2202406
2019 chuo st john brohUmemaliza mwaka gani na chuo gani
Mfumo unakataa baadhi ya masomo kuwa pamoja Kama iyo Geography na economics au geography na kiswahili kwaiyo hapo chagua moja uombee kaziGeography can not be with Economics , wakuu kila nikiadd somo la economics nakutana na ujumbe huo hapo juu .
Nimejaribu kuanza na Economic nilivyoongeza geography tena imeniambia
" economics can not be with geography "
Sasa wakuu nafanyaje kwenye hii changamoto ?..
Asnte mkuuMfumo unakataa baadhi ya masomo kuwa pamoja Kama iyo Geography na economics au geography na kiswahili kwaiyo hapo chagua moja uombee kazi
Mimi inaleta desktop mode,ila kipengele cha save kiko pale,hakiko active hivyo itabidi niende tu kwenye computer.Kweli mimi jana nimeangaika sana
Nilikua naangalia hicho kitufe sikuelewa ni cha nn..sasa nimepata jibuView attachment 2202057angalia atachment hiyo...hivyo hapo bila kuaattach barua huwezi kusave