X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #701
SIO MBAYA ila ikitokea umeamua kuifuta shule moja wakati wa kurudisha shule nyingine lazima uweke tena barua...Kwahyo mkuu vp ambaye amechagua kwanza shule zote 5 kisha ndo akaweka hiyo barua moja tu kwa shule zote?