Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

ndio...kuna wale ambao walikuwa wanachagua shule moja moja na kusave...ukirudi baada itakulazimu tena uweke barua
Yah hy naelewa ukifanya mabadiliko n lazima uweke barua, kwa mtu ambaye hajui na jinc ulivoandika ile comment ya kwanza anaweza kudhani n unaandika barua kulingana na shule unayoomba, mf: shule inaitwa TiaNia bc barua nayo ionyeshe kuwa unaomba kazi kwenye shule inayoitwa TiaNia, na nyingine hvy hvy mpaka zimalizike zote 5
 
ndio...kuna wale ambao walikuwa wanachagua shule moja moja na kusave...ukirudi baada itakulazimu tena uweke barua
Mkuu mimi nimechagua kwanza shule nikasave kwa pamoja ndio nikaweka barua.

Sasa nilikuwa nataka nibadilishe barua niweke nyingine maana kuna sehemu nimegundua makosa.

Je nikiweka barua mpya nitatakiwa na shule nichague upya?
 
hamna badilisha tu...barua shule ziache..usije ukaikimbia bahati
 
Jamani msaada kwenye kuapload cheti cha fani kwangu inakataa kwenye completed year na nikiwapigia hawapokei kada ya afya
 
Haileti notification yoyote isipokua hainiletei completed year na sehem ya kuattach vyet.
Screenshot_2022-04-27_161432.jpg
 
Geography can not be with Economics , wakuu kila nikiadd somo la economics nakutana na ujumbe huo hapo juu .
Nimejaribu kuanza na Economic nilivyoongeza geography tena imeniambia
" economics can not be with geography "
Sasa wakuu nafanyaje kwenye hii changamoto ?..
 
Mfumo unakataa baadhi ya masomo kuwa pamoja Kama iyo Geography na economics au geography na kiswahili kwaiyo hapo chagua moja uombee kazi
 
Back
Top Bottom