Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Hapana mkuu
jaza taarifa za chuo....baada ya hapo chagua kozi yoyote....hii itairuhusu ile sehemu ya mwaka ambayo haifunguki ifunguke....baada ya hiyo sehemu ya mwaka wa kumaliza kufunguka andika mwaka wako uliohitimu...kisha rudi pale ulipochagua kozi yoyote iandike kozi yako manual...
chuoooooooooooo.JPG

baada ya kuchagua kozi nyingine yoyote usio husiana nayo....utajaza mwaka wako wa kumaliza chuo kisha ile sehemu ya kuambatanisha cheti na yenyewe itafunguka utaweka vyeti kama inavyoonekana pichani baada ya hapo utarudi kwenye ile kozi yako utaiandika manual kama picha hapo chini inavyoonyesha
chuo kingine2.JPG

kisha utasave...mchezo umeisha
 
jaza taarifa za chuo....baada ya hapo chagua kozi yoyote....hii itairuhusu ile sehemu ya mwaka ambayo haifunguki ifunguke....baada ya hiyo sehemu ya mwaka wa kumaliza kufunguka andika mwaka wako uliohitimu...kisha rudi pale ulipochagua kozi yoyote iandike kozi yako manual...View attachment 2204021
baada ya kuchagua kozi nyingine yoyote usio husiana nayo....utajaza mwaka wako wa kumaliza chuo kisha ile sehemu ya kuambatanisha cheti na yenyewe itafunguka utaweka vyeti kama inavyoonekana pichani baada ya hapo utarudi kwenye ile kozi yako utaiandika manual kama picha hapo chini inavyoonyeshaView attachment 2204018
kisha utasave...mchezo umeisha
Shukràni sana mkuu,Mungu akubariki ngoja nifanye hii mbinu
 
Iv kwa mtu alosoma BAED anaweza kuomba kufundisha shule ya msingi coz kwenye mfumo ukiomba shule zipo zinaonysha EM (elimu msingi) na Kuna baadhi ya shule zinaonysha S( sekondari)
 
Nani kakudanganya, unaweza ukawa alone lakini usichaguliwe nafasi ikazibwa na mtu mwingine
Acha kujidanganya hiyo Ni physics uhitaji wao Ni mkubwa Sana Na probability ya kuchukuliwa wao nikubwa ndo Mana hata Ajira za mwaka jana walichukuliwa wengi Sana wenye physics walio maliza 2019
 
Acha kujidanganya hiyo Ni physics uhitaji wao Ni mkubwa Sana Na probability ya kuchukuliwa wao nikubwa ndo Mana hata Ajira za mwaka jana walichukuliwa wengi Sana wenye physics walio maliza 2019
Jidanganye, waliosoma physics ambao bado hawajaajiliwa ni zaidi ya Sabini elfu. Halafu unaongea tu eti uhitaji ni mkubwa
 
jaza taarifa za chuo....baada ya hapo chagua kozi yoyote....hii itairuhusu ile sehemu ya mwaka ambayo haifunguki ifunguke....baada ya hiyo sehemu ya mwaka wa kumaliza kufunguka andika mwaka wako uliohitimu...kisha rudi pale ulipochagua kozi yoyote iandike kozi yako manual...View attachment 2204021
baada ya kuchagua kozi nyingine yoyote usio husiana nayo....utajaza mwaka wako wa kumaliza chuo kisha ile sehemu ya kuambatanisha cheti na yenyewe itafunguka utaweka vyeti kama inavyoonekana pichani baada ya hapo utarudi kwenye ile kozi yako utaiandika manual kama picha hapo chini inavyoonyeshaView attachment 2204018
kisha utasave...mchezo umeisha
Nimefanya hivi shida inakuja kwenye mwaka qa kumaliza wala haifunguki
 
Jidanganye, waliosoma physics ambao bado hawajaajiliwa ni zaidi ya Sabini elfu. Halafu unaongea tu eti uhitaji ni mkubwa
Hakuna kitu kama hicho labda unaandika kwa kujifurahisha sisi tuliomaliza 2020 class yetu physics na chemistry tulikua 89 tu...waliotutangulia 2019 walichukuliwa wengi sana physcs takers bachelor walioko mtaani sidhani wanafika buku. Labda uchanganye na special diploma
 
Back
Top Bottom