Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mbna nliwapigia tamisemi kwenye namba yao ya mawasiliano wakasema inawezekana kwa degree arts kuomba EM Elimu msingi

Apo ipoje mkuu?
jibu la tamisemi ni la msingi zaidi kuliko la humu...mimi pia ni muombaji tu ndugu yangu....ila kutokana na wasomi wengi kuwa nje ya mtandao ndio maana nikaamua nitoe msaada humu wa changamoto zinazojitokeza...ila sina sina uhusiano wowote na ofisi ya tamisemi...changamoto hizi nazitatua kutokana na utashi wangu binafsi tu.
 
Haina noooma mwamba Ni ile kujuzana kinyama [emoji120][emoji120]
 
Mbna ujichangua shule arts unakutana na Em elimu msingi zoote mkubwa hakuna secondary
Apo inakuwaje
mfano wa shule za sekondary kwa masomo ya sekondary
machaguo ya muombaji.JPG
Geography na Kiswahili
 
jibu la tamisemi ni la msingi zaidi kuliko la humu...mimi pia ni muombaji tu ndugu yangu....ila kutokana na wasomi wengi kuwa nje ya mtandao ndio maana nikaamua nitoe msaada humu wa changamoto zinazojitokeza...ila sina sina uhusiano wowote na ofisi ya tamisemi...changamoto hizi nazitatua kutokana na utashi wangu binafsi tu.
Mkuu tengeneza group la wasup me ntakuwa promota wako asee unajitoa Sana huenda huko ukawasaidia wengi zaidi katika kipindi hiki.
 
mkeka bado unazidi kusoma yani unaweza kutokwa na chozi hapo kila siku nilikuwa nafanya kazi ya kubadilisha shule...yani nimeziibadilisha hadi nimechoka....nimeamuachia Mungu atu afanye miujiza yake kwa kwakweli...sijui wenzangu mikeka yenu inasomaje....
mkeka.JPG
 
mkeka bado unazidi kusoma yani unaweza kutokwa na chozi hapo kila siku nilikuwa nafanya kazi ya kubadilisha shule...yani nimeziibadilisha hadi nimechoka....nimeamuachia Mungu atu afanye miujiza yake kwa kwakweli...sijui wenzangu mikeka yenu inasomaje....View attachment 2204979
Mie nimeomba SoMo moja tu, Biology Geography sijaliweka halikuwepo kwenye mfumo nasikia now lipo Ila sitabadilisha, kuna shida
 
Afu ukisha attach files, unaweza uka zi-click ili ku-verify Kama files ulizoweka Ni sahihi, inawezekana? Na hakiathiri maombi yako
 
shida hakuna ni maamuzi tu kikubwa umeomba kwenye level yako unayostahiki...nakutakia bahati njema tu ndugu yangu
 
Afu ukisha attach files, unaweza uka zi-click ili ku-verify Kama files ulizoweka Ni sahihi, inawezekana? Na hakiathiri maombi yako
ndio inawezekana hata mimi huwa naandalia mara kwa mara...japo muda mwingine mtandao ukiwa unasumbua huwa azifunguki
 
mkeka bado unazidi kusoma yani unaweza kutokwa na chozi hapo kila siku nilikuwa nafanya kazi ya kubadilisha shule...yani nimeziibadilisha hadi nimechoka....nimeamuachia Mungu atu afanye miujiza yake kwa kwakweli...sijui wenzangu mikeka yenu inasomaje....View attachment 2204979
Timu za kuchana mikeka zinazidi kuongezeka kila muda, hata wale waliokuwa wakijisifu wameweka timu moja tuu ya uhakika nao pia wanalia hawaelewi timu zingine zimeongezekaje 😁😁
 
mkeka auchanwi...japo odd azieleweki...tunaweza kupata bonus ujue...
 
Back
Top Bottom