Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Ufafanuzi wa vyeti.
Naomba kufahamu maana ya nakala,maana kwenye tangazo wanahitaji nakala za vyeti vya taaluma na kuzaliwa.
Binafs niliweka vyeti Origino kwa ku vi scan.
Je nimekosea?
 
Hawa jamaa wameongeza option ya KUHAKIKI NIDA. Hiyo imeakaaje? Kwa nini imeongezwa hiyo option wakati tulihakiki NIDA tulipokuwa tunafungua account za OTEAS?
OR-%20TAMISEMI%20NIDA.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshajaza taarifa za chuo adi bachelor degree ya social work,lakini nikishasave inakuja degree of sociology wakati sijajaza hiyo,msaada jamani
 
Back
Top Bottom