Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

mkeka bado unazidi kusoma yani unaweza kutokwa na chozi hapo kila siku nilikuwa nafanya kazi ya kubadilisha shule...yani nimeziibadilisha hadi nimechoka....nimeamuachia Mungu atu afanye miujiza yake kwa kwakweli...sijui wenzangu mikeka yenu inasomaje....View attachment 2204979
Mkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?
 
Mkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?
Usipoteze muda wako kutafuta shule isiyokuwa na waombaji wengi
Anyway, ili kujua ni lazima uombe nafasi kwanza, yn ufanye application kwanza ndipo utaona idadi ya waombaji ila bila hvy hutoweza kuwaona
 
Jaman msikate tamaa ajira ni bahat akuna mwenye uhakaka labda mwenye ndugu ngaz za juu ila ila asilimia kubwa waliokaa sana mtaan ndo kipaumbele zaid
 
Mkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?
ukiomba shule ukaichagua na kuisave ndio inakuonyesha idadi ya walioomba...ila kwenye komputer...ndio zina onekana...usiahangaike kutafuta zenye idadi ndogo huto pata...chagua shule zozote kisha muombe...Mungu kwa imani yako...shule nilizo weka mimi siku ya kwanza zote zilikuwa zinasoma 1.1.1.1.1. ila hivi sasa ndio kama unavyoona...na hapo ndio nakesha kubadilisha na kubadilisha.
 
Sio roho mbaya, swala data ziwe sensitive
ndugu yangu...roho mbaya haijengi...kama ungekuwa unataka usensitive usingejiunga mitandaoni...kama unayonia ya kusaidia mtu saidia ili akushukuru walau kimya kimya...muda mrefu nimekuona upo na kaubinafsi fulani ambako sio lengo la huu uzi...huu uzi ni wa kuwasaidia wanaopata changamoto kutokana na maombi ya ajira na nina imani ata wewe kwa namna moja ama nyingine kuna mambo kupitia huu uzi umenufaika nayo je...na sisi tungekuwa na ubinafsi kama uliokuwa nao...hata huu uzi usingekuwepo...ifike mahali tutumie mtandao vizuri na kwa nia nzuri na usizani kila mwenye kuutumia huu mtandao basi ni mwenye nia ovu.
 
ukiomba shule ukaichagua na kuisave ndio inakuonyesha idadi ya walioomba...ila kwenye komputer...ndio zina onekana...usiahangaike kutafuta zenye idadi ndogo huto pata...chagua shule zozote kisha muombe...Mungu kwa imani yako...shule nilizo weka mimi siku ya kwanza zote zilikuwa zinasoma 1.1.1.1.1. ila hivi sasa ndio kama unavyoona...na hapo ndio nakesha kubadilisha na kubadilisha.
Amina.

Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom