Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
[emoji2]Kuna mtu namfaham alisoma BALS (Bachelor of Arts in Language Studies) UD, alifanya application akapangiwa kituo. Alivoreport halmashauri akaulizwa, alisoma kozi ngapi za ualimu, hajui. Akaulizwa kama angalau mbali na content courses anajua ethics, au chochote kuhusiana na kozi yoyote inayotolewa na SOED, akajibu hakumbuki.
Akawekwa rumande kwa siku kama mbili, kisha afukuzwa na kuambiwa akijaribu ujinga huo, wata revoke vyeti vyake