Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Siku 4 zimeongezwa kuomba ajira
IMG_8435.png
 
Walimu zaidi ya laki wameomba halafu nafasi 9800 yani booonge la betting
 
Kwa afya humaliza wachache na wengi wa afya ni wale waliomaliza 2020..2021. Na walivofkia iyo idadi itakua kuna ongezeko la watu wa sociology maana na wao kuna kipengele wameambiwa waombe
Hii inamaanisha kada ya wenzetu wafya wao hawana interest na ajira au?
 
Hhhhh halafu bado wameongeza siku
Yaap, yani waziri ana mambo ya kisenge sana, kwenye ajira nyeti zenye mishahara minono husikii wanaongeza muda wa watu kuomba ili wawape ndugu zao,ila hizi kazi za jumuia watoto wa maskini zinapigiwa promo kuongeza muda Ili hali idadi imezidi zaidi ya wanaohitajika
 
Acha roho mbaya ww kama bahati yako utapata tu na kama haipo haipo tu
 
Hii ishu pevu mi nimehairisha kuomba ngoja nisubiri za sensa tu maana chuo nako wanasumbua na madeni ya uongo, ngoja niendelee kujiajiri tu
 
Back
Top Bottom