Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mm nakukumbusha tuu kuwa deadline ni 4 May
Nisaidie kwenye password asee inailetea hivi
Screenshot_20220502-081907.jpg
 
Wadau naomba kuuliza.

Eti unapo attach vyeti mfano cha form four. Page zote za mbili yaani mbele na nyuma ni lazima zionekane, au ni upande mmoja tu wa mbele?

Mimi niliweka page zote mbili lakini nimeona kuna wadau wameweka upande mmoja tu.
 
Page ya nyuma kuna taarifa zako.? Kama kuna taarifa zako bc weka.
Jiongeze bhana.
 
Wadau naomba kuuliza.

Eti unapo attach vyeti mfano cha form four. Page zote za mbili yaani mbele na nyuma ni lazima zionekane, au ni upande mmoja tu wa mbele?

Mimi niliweka page zote mbili lakini nimeona kuna wadau wameweka upande mmoja tu.
Vyovyote tu
 
wasomi wetu wanachekesha...mimi ninae msomi mmoja hapa eti email amefungua mwenyewe ameisahau na pasword pia eti kasahau
Yn kuna mambo mengine mpaka unashangaa, unatamani kumsaidia mtu lkn ukiangalia hilo tatizo unaona kabisa ht yeye mwenyewe akitumia akili za mtoto mdogo anapata jibu mwenyewe.
Ila huyo aliyesahau hadi Email achana na password aisee em nisaidie kumpiga kofi la kisogo.
 
naomba kujuzwa, kwa wanaoomba nafasi ya ualimu na ana ulemavu wa viungo, akishatuma hard copy kwa njia posta bado atatakiwa kuomba kwenye mfumo tena.
 
Yn kuna mambo mengine mpaka unashangaa, unatamani kumsaidia mtu lkn ukiangalia hilo tatizo unaona kabisa ht yeye mwenyewe akitumia akili za mtoto mdogo anapata jibu mwenyewe.
Ila huyo aliyesahau hadi Email achana na password aisee em nisaidie kumpiga kofi la kisogo.
kuna mwingine hapa eti ananiuliza email....ndio nini...yani nimemuangalia jicho hilo...kisha nikatetemeka kwa hasira...mbaya zaidi ni degree holder eti.
 
Back
Top Bottom