Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Embu naomba mnisaidie jambo... Kuna rafiki yangu aliomba nimtengenezee account sasa akanipatia email address na NIDA number kwahiyo nikawa na create account....

Sasa hatimaye tukafanikiwa hivyo nikamtumia username na password ili aweke cheti cha kuzaliwa
Hiyo ilikuwa last week.... Kumbe alikuwa busy hivyo hakuendelea kuattach kile Cheti cha kuzaliwa....

Leo amenitafuta asubuhi akidai aliweka vyeti vizuri Tu cha kuzaliwa na akaweka details zake pale... Lakini changamoto anapobonyeza sehemu ya kuendelea inamuandikia kuwa number is already exists.... Hapo tunamsaidiaje?

Niliwaza nikahisi NIDA number imetumika na mtu mwingine hivyo nikamsaidia kubadili password ila hata nilipofanya hivyo... Iliniletea hivyo hivyo
 
Mimi nimeaply kwa bachelor of science in mathenatics. Wajilipue tu mzee huwezi jua.
Kuna watu kadhaa wa darasa langu walishaga pata kitambo hizi ajira za waalimu, na wengine wanasoma post graduate za ualimu now wakiwa kazini tayari.
Kuna mdau anasema eti hata wakipangiwa, wakifika halmashauri TSC wanaangalia cheti, na kama hakina neno EDUCATION wanafukuza kama mbwaaa eti siyo walimu. Lina ukweli hili chifu?
]
 
Let him do frequently the system will automatically be ok, I think it could be network traffic and error hence patience is a key to success.
 
Kuna mdau anasema eti hata wakipangiwa, wakifika halmashauri TSC wanaangalia cheti, na kama hakina neno EDUCATION wanafukuza kama mbwaaa eti siyo walimu. Lina ukweli hili chifu?
]
Yeah ila ni baadhi ya halmashauri nasikia ndio wana mambo ya kiwaki kama hayo. Lakini kuna halmashauri zingine kama walioko hao jamaa zangu wanfanya kazI fresh tu mpaka leo wanamiaka na wanachangia hadi CWT.
 
Zamani ilikuwa raha, wameanza kukaza Sana kuanzia 2020, Kuna jamaa Alisoma Arts kwenye ajira akaweka Physics na Math, Tamisemi wakampa ajira, wakati wa kureport Mkurugenzi alimfukuza kma Mbwa
 
Embu naomba mnisaidie jambo... Kuna rafiki yangu aliomba nimtengenezee account sasa akanipatia email address na NIDA number kwahiyo nikawa na create account....

Sasa hatimaye tukafanikiwa hivyo nikamtumia username na password ili aweke cheti cha kuzaliwa
Hiyo ilikuwa last week.... Kumbe alikuwa busy hivyo hakuendelea kuattach kile Cheti cha kuzaliwa....

Leo amenitafuta asubuhi akidai aliweka vyeti vizuri Tu cha kuzaliwa na akaweka details zake pale... Lakini changamoto anapobonyeza sehemu ya kuendelea inamuandikia kuwa number is already exists.... Hapo tunamsaidiaje?

Niliwaza nikahisi NIDA number imetumika na mtu mwingine hivyo nikamsaidia kubadili password ila hata nilipofanya hivyo... Iliniletea hivyo hivyo
kuna muombaji kwa bahati mbaya amekosea kuandika namba ya reg....ameandika yakwako badala ya yake hapo cha kufanya angalia page ya kwanza ya uzi huu kuna namba za tamisemi uwapigie...au hapo kweny namba uongeze namba nyingine mbele yake ili uweze kuendelea na maombi...kikubwa ni hizo attachment...
 
Yeah ila ni baadhi ya halmashauri nasikia ndio wana mambo ya kiwaki kama hayo. Lakini kuna halmashauri zingine kama walioko hao jamaa zangu wanfanya kazI fresh tu mpaka leo wanamiaka na wanachangia hadi CWT.
Kuna mtu namfaham alisoma BALS (Bachelor of Arts in Language Studies) UD, alifanya application akapangiwa kituo. Alivoreport halmashauri akaulizwa, alisoma kozi ngapi za ualimu, hajui. Akaulizwa kama angalau mbali na content courses anajua ethics, au chochote kuhusiana na kozi yoyote inayotolewa na SOED, akajibu hakumbuki.
Akawekwa rumande kwa siku kama mbili, kisha afukuzwa na kuambiwa akijaribu ujinga huo, wata revoke vyeti vyake
 
Zamani ilikuwa raha, wameanza kukaza Sana kuanzia 2020, Kuna jamaa Alisoma Arts kwenye ajira akaweka Physics na Math, Tamisemi wakampa ajira, wakati wa kureport Mkurugenzi alimfukuza kma Mbwa
Nafikiri ilikuwa sababu ya uhitaji mkubwa wa waalimu wa masomo ya sayansi.

So acha tuone hatima yetu mkuu
Wakitutimua basi, sio riziki zetu.
 
kuna muombaji kwa bahati mbaya amekosea kuandika namba ya reg....ameandika yakwako badala ya yake hapo cha kufanya angalia page ya kwanza ya uzi huu kuna namba za tamisemi uwapigie...au hapo kweny namba uongeze namba nyingine mbele yake ili uweze kuendelea na maombi...kikubwa ni hizo attachment...
Asante mkuu.... Amesema atawapigia kesho
 
Mimi nimeaply kwa bachelor of science in mathenatics. Wajilipue tu mzee huwezi jua.
Kuna watu kadhaa wa darasa langu walishaga pata kitambo hizi ajira za waalimu, na wengine wanasoma post graduate za ualimu now wakiwa kazini tayari.
Nadhani itakuwa kipindi Cha Magu
Kuna mtu wa Civil Engineering pia alipata
 
Zamani ilikuwa raha, wameanza kukaza Sana kuanzia 2020, Kuna jamaa Alisoma Arts kwenye ajira akaweka Physics na Math, Tamisemi wakampa ajira, wakati wa kureport Mkurugenzi alimfukuza kma Mbwa
Sasa huyu wa arts na sayansi wapi na wapi
 
Kuna mtu namfaham alisoma BALS (Bachelor of Arts in Language Studies) UD, alifanya application akapangiwa kituo. Alivoreport halmashauri akaulizwa, alisoma kozi ngapi za ualimu, hajui. Akaulizwa kama angalau mbali na content courses anajua ethics, au chochote kuhusiana na kozi yoyote inayotolewa na SOED, akajibu hakumbuki.
Akawekwa rumande kwa siku kama mbili, kisha afukuzwa na kuambiwa akijaribu ujinga huo, wata revoke vyeti vyake
Dah!pole yake kwakweli
 
Back
Top Bottom