Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Msaada ndugu
Nina masomo mawili
Geography imeniletea shule za sec ila history imeniletea msingi
Hapa nafanyaje?
Au hakuna tatizo
Elimu degree
 
History mostly ni msingi, na hata Geography baadhi ya shule ni msingi.
Kwahiyo niiache hivo hivo ?mana nina Bachelor degree with Education ambayo tangazo linatutaka kuchagua sekondary
Kwa wenzangu wanasema wao imewaletea shule za sekondary ila kwangu zinkuja msingi hapo ndipo nashindwa kuelewa.
 
sasa shida itoke wap nawakati wameweka wenyewe
 
Kwahiyo niiache hivo hivo ?mana nina Bachelor degree with Education ambayo tangazo linatutaka kuchagua sekondary
Kwa wenzangu wanasema wao imewaletea shule za sekondary ila kwangu zinkuja msingi hapo ndipo nashindwa kuelewa.
Fata tangazo linavyokuelekeza uombe
 
Kwahiyo niiache hivo hivo ?mana nina Bachelor degree with Education ambayo tangazo linatutaka kuchagua sekondary
Kwa wenzangu wanasema wao imewaletea shule za sekondary ila kwangu zinkuja msingi hapo ndipo nashindwa kuelewa.
Huu mfumo wa kijanga Sana, weka tu primary
 
Naomba kusaidiwa hili....
nimeingia kwenye mfumo ili kuhakiki vyeti nilivyoambatanisha kwa kutumia PC lakini sijafanikiwa kuona hata kimoja maana inafunguka na kusema CHECK CERTIFICATE TO VERIFY lakini cheti chenyewe hakionekani hapo shida itakuwa ni nini??
 
Matajiri wa jf, mbona KIPENGERE cha HAKIKI NIDA bado kinaonekana kwenye taarifa binafsi. Au ni kwangu tuu. Wakat nilihakik Mwanzon kabisaaa
 
Waongeze mda tu maana wengine shida vyeti na nida haviendani mpaka tumehairisha kuomba
 
Kwa uzoefu tu, hawa Tamisemi huwa wanachukua mda gani mpaka kutoa majina ya waliofanikiwa kuajiriwa.
 
Mwezi mmoja tu, last year deadline ilikuwa 23 may majina yakatoka 25 June,,sahivi mfumo unaambiwa baada ya wiki unakuwa ushachakata kila kitu
 
Kwa uzoefu tu, hawa Tamisemi huwa wanachukua mda gani mpaka kutoa majina ya waliofanikiwa kuajiriwa.
Mwaka jana walitoa mwezi watano halafu wa saba wakatoa majina ya waliopata kama sikosei
Kwa mwaka huu sijui mana mambo yanabadilika
 
Kwa watu wa Afya, Vituo mlivochagua vinaonekana au ndio kama mimi???
Screenshot_20220504-165547_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom