Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

[emoji2]
 
Mimi nimeaply kwa bachelor of science in mathenatics. Wajilipue tu mzee huwezi jua.
Kuna watu kadhaa wa darasa langu walishaga pata kitambo hizi ajira za waalimu, na wengine wanasoma post graduate za ualimu now wakiwa kazini tayari.
Kwenye course unajazaje? Na teaching subjects unaadika na hiyo statistics
 
Kwenye course unajazaje? Na teaching subjects unaadika na hiyo statistics
Teaching course mimi niliingiza tu lenye science with education. Maana mimi yangu ni "bachelor of science in mathematics" (haina education). Maana kwenye course system ilikuwa inacommand ujaze zilizopo kwenye system yao tu.

Teaching subject ni mathematics tuu nklijaza, mimi sikuwa na statistics ni math tu.
 
Yaani una probability kubwa ya kupata, sema watu wa Halimashaurina THC wanaweza kukukazia ukiwa unareport especially hawa THC, wanapendaga kuona neno Education kwenye vyeti [emoji2]
 
Hii ishu pevu mi nimehairisha kuomba ngoja nisubiri za sensa tu maana chuo nako wanasumbua na madeni ya uongo, ngoja niendelee kujiajiri tu
Karibu sana sisi watu wa maliasili na utalii tunaskilizia sensa tu kilimo wao mda wowote wanamwagwa
 
Umevurugwa
Wanajikuta wajuaji sana

Sema hao madogo nao wana kazi sana kuwaomba msaada watu kama hawa

Na uzuri wengine hatupimi watu kwa elimu yao umeniuliza swali nitakujibu kujua kwako kutokujua hainihusu utajua mwenyewe na degree yako
 
Hizi pigo wazungu hawana unamuuliza swali anakujibu hataki kujua kama unajua au laa madamu umeuliza atakujibu unless ni swali na lipo kwenye moral code utajibiwa


Ila sasa tukija kwenu wabongo werevu ambayo mnajikuta mna vipimo vya maswali .. yeye kutumia instagram haikuhusu wewe ,yeye kufika chuo kikuu asijue email ni nini haikuhusu wewe je kama alitingwa siku hiyo we cha kufanya umeulizwa unajibu mbona simple tu

Haya majibu yenu ni rahisi sana ku asses nyie ni watu wa aina gani
 
Ww ni Zumbukuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…