UTAKUWA unakosea kuandika hiyo namba ya mtihani...au index nambaHabarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
tayari tofauti ipo hapo ya iHabarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
pia jaribu kuweka ile "s" iwe kubwaHabarin wana jf. Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofaut wa herufi i walokosea nida ndo na Necta wanashndwa leta particulars zang?
umesomeka sana kiongozi...feedback kama hizi ndizo tunazozihitajiKuweni na subra , server nyingi za serikali huwa zinazidiwa.
Ila kama una PC na Simu nakushauri utumie simu na rahisi zaidi kuaccess kuliko PC, ingawa wengi wenu mnaona PC ni rahisi zaidi.
Na ukitaka uingie kirahisi oteas tumia google search usitumie browsers za kawaida kwa kipindi hili cha mwanzo ambacho servers zinakuwa bize.
itakuwa kuna namba inamiss...iangalie vizuri hiyo index...au kuna mtu ametumia namba yako nini
ndio unaattach barua ya maombiNaskia kuna kuandika barua, n kweli.?
Sasa ndugu zangu walimu na manesi hapa kosa la mtu wa IT ni lipi jamani?Alafu kuna IT wa tamisem wanalipwa hela tena kodi zetu..
Nchi ya kipumbavu sana kuna wajinga tumewapa dhamana wanatuzamisha baharini bila hata huruma
Namba iko sahihiitakuwa kuna namba inamiss...iangalie vizuri hiyo index...au kuna mtu ametumia namba yako nini
Kwa hiyo ni kosa la naniSasa ndugu zangu walimu na manesi hapa kosa la mtu wa IT ni lipi jamani?
Mbona mnapenda kutoa lawama sana.Haya unataka mtu wa IT afanye nini cha ziada hapa?
Nakupa elimu ya bure ili siku nyingine kabla ya kuponda IT wa bongo ujue nini kiko nyuma ya pazia.
Ni kwamba unapoingia kwenye browser yako na kutype address yako kwa ajili ya page hiyo ya maombi.Browser yako ndio inakuwa mteja na mhudumu wake ni hizo servers ambazo zina hiyo page.Ombi lako linapochelewa kushughulikiwa ni kwamba unakuwa umewekwa foleni kwa sababu server inakuwa imepokea maombi mengi na kila ombi linalotumwa linakuwa na mda wake wa kusubiri kabla ya kujibiwa.Mda wa kusubiri unaokuwa umepewa ukiisha bila kuhudiwa wewe unakuwa umetolewa kwenye foleni.
Sasa kama kwa kifupi sana jambo liko hivi kosa la IT wa bongo ni lipi sasa hapa?
Kama hujui kitu bora ukae kimya tu.Sasa ndugu zangu walimu na manesi hapa kosa la mtu wa IT ni lipi jamani?
Mbona mnapenda kutoa lawama sana.Haya unataka mtu wa IT afanye nini cha ziada hapa?
Nakupa elimu ya bure ili siku nyingine kabla ya kuponda IT wa bongo ujue nini kiko nyuma ya pazia.
Ni kwamba unapoingia kwenye browser yako na kutype address yako kwa ajili ya page hiyo ya maombi.Browser yako ndio inakuwa mteja na mhudumu wake ni hizo servers ambazo zina hiyo page.Ombi lako linapochelewa kushughulikiwa ni kwamba unakuwa umewekwa foleni kwa sababu server inakuwa imepokea maombi mengi na kila ombi linalotumwa linakuwa na mda wake wa kusubiri kabla ya kujibiwa.Mda wa kusubiri unaokuwa umepewa ukiisha bila kuhudiwa wewe unakuwa umetolewa kwenye foleni.
Sasa kama kwa kifupi sana jambo liko hivi kosa la IT wa bongo ni lipi sasa hapa?
Kama hauna transcript inakuaje hapo?sehemu ya chuo imekubali waungwana...View attachment 2196647