Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Jamani naomba ujuzi kile kipengele cha Pili. Secondary pale tunajaza four or six.? Pia Mimi mwaka wa kumaliza Haufunguki? Naomba muongozo

Screenshot_20220423-192658.jpg
 
Nakataa sababu zako.

Hivi Amazon, ebay zilizotapakaa Dunia nzima na kutumiwa na mamilioni ya watu ulimwenguni, huu usumbufu mbona haupo huko? Kama ni wingi wa watumiaji basi Amazon ingekuwa na foleni isiyo na kifani kwani inawatumiaji wengi sana.

Mbona page ya Wizara ya Afya iko vizuri hamna tatizo kama huku Tamisemi. Ma IT wa Tamisemi wanakwama sana

TAMISEMI imepewa majukumu makubwa sana, mambo ya AFYA yangeondolewa huko yabaki wizara ya afya.
 
Jamani naomba ujuzi kile kipengele cha Pili. Secondary pale tunajaza four or six.? Pia Mimi mwaka wa kumaliza Haufunguki? Naomba muongozo

View attachment 2197932
𝐾𝑎𝑚𝑎 𝑢𝑚𝑒𝑓𝑖𝑘𝑎 𝑓𝑜𝑟𝑚 𝑠𝑖𝑥, 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑎 𝑓𝑜𝑟𝑚 𝑓𝑜𝑢𝑟 𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑗𝑎𝑧𝑎 𝑓𝑜𝑟𝑚 𝑠𝑖𝑥.

𝐾𝑢ℎ𝑢𝑠𝑢 𝑚𝑤𝑎𝑘𝑎 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑚𝑎𝑙𝑖𝑧𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑝𝑎𝑘𝑎 𝑢𝑘𝑎𝑚𝑖𝑙𝑖𝑠ℎ𝑒 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑏𝑎.
 
profile yangu imefikia 60 nashindwa kuchagua mikoa pia kuweka taarifa za chuo
 
Nikiangalia matatizo mengi ya watu humu wanaoomba kusaidiwa, binafsi nimeona tatizo ni wao wenyewe kukosa umakini.
Unakuta mtu analalamika mf: sehemu ya mwaka au sehemu ya kuweka cheti haifunguki, sasa mtu kama huyu unakuta kuna sehemu za mwanzo hajajaza yeye anakimbilia kujaza sehemu za mbele, hapo ni kukosa umakini tuu.
Sema ukweli, kuna mtu namfanyia maombi lakini sijapata tatizo lolote kuanzia nimeanza mpaka sasa (bado cjamaliza kuomba) zaidi ya labla mtandao uwe mbovu.
Nawashauri tuu, em ongezeni umakini mana vitu vingine vinahitaji akili ya kawaida sana hata sio akili ya darasani.
Maombi mema wote na Mungu awabariki kulingana na umakini wenu.
 
Back
Top Bottom