Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Shukran mkuusi kwamba itakuwa kuna alama wameziseti za ufaulu wa juu...nadhani ndio mchujo unaanzia hapo...ila ajaribu kuwasiliana nao namba zao ni 0735160210....unatumia dakika za kawaida kuipiga namba hiyo...