Nguvu za kitandani Mungu aliwapa wala msimsingizie, nguvu ya uchumi inatafutwa hivyo muitafute.Kwa zama hizi za chipsi yai ,kubalance kombi ni ishu ngumu,
Yaan ukipata mzuri kitandani basi ujuwe uchumi uko hovyooo.
mungu hakupi vyote mtuonee huruma
Kwahiyo mnatakaje?Hapo kwenye kuwa wapole ndo pagumu ,
Inamana ukabanjuliwe uko alafu mimi niwe mpole?
Hapana huu utakuwa udhaifu mwingine
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kitu ambacho nawakubali mademu.. ukimuuliza.. "baby nimekurizisha!" anakujibu "ndiyo..!!!" ha!!!! ha!!!! ha!!!!
Kweli kabisa.Sio mjitangaze mkuu bali uoe unayeweza kumtosheleza kwa kila kitu na sio mapenzi pekee.
Mtu nitulie na kuvumilia kwa lipi wakati unaona sikufurahishi hadi umepata wa pili, na bora uchepuke tu hadi unaoa kbs,stress za ninii..wakati watongozaji wamepanga foleni wanasubiri yes.,Mkuu unajua mambo yanaenda kwa kubadilika,
Nimechunguza sana hili jambo mpaka nikaamuwa kuleta uzi huu ,yaan kwa dunia ya sasa tatizo linakuja ukishamiliki wake wawili ,hili jambo watoto wa kike hawezi vumilia hata awe amesoma dini vipi ,kwa mke mmoja si shida ila ukiongeza jiko tu ndo shida zinaanzq ,akiwa peke yake anaweza kukuvumilia mengi sana na hata asikusaliti hata uwende wapi mkuu ila shida ukiongeza tu,yaan hapo ndo utawajua wanawake ni viumbe wa namna gani ,
japo wapo waliotulia na wavumilivu hata ukiongeza ila asilimia kubwa wako ivyooo
Hapo tatizo sii maumbile,tatizo ni moyo,sote ni binaadam tuna mioyo sawa, kama nyie wanaume mnavyo tukinai mkatamani wanawake wengine nasisi ni hivyo hivyo,cha msingi ni kuvumiliana tuu na so kwa sababu wewe ni mwanaume ndio utumie uanaume wako kumsononesha mwenzio,na ninaimani hakuna mwanamke anayehitaji ukewenza kwani mapenzi hayagawanyiki ,nasi tuna moyo si jiwe mengine mtupunguzie.Shida ni moja mkuu ,maumbile ya mwanamke hayaruhusu kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja wanaforce tu mkuu,
Hawawezagi hao wameshazowea kila jambo kumuangushia mwanamke. Ila hili ni lao watake wasitake.Ndio muufyate, muwe wapole tuu tuvumiliane.
Ndoa ni kuridhishana hata kama una kibamia,ikitokea mzee anataka kuongeza mke mwingine basi wewe jua ya kua kuna kapoint hajaridhika nako na wewe ndio maana anaongeza mtaa wa pili basi na wewe mke RUKSA nawe kutafuta alipopungukiwa mumeo hapo mtukuwa sawa ndoa ili ile na kila mmoja anaridhika anachopata...
Hata maumbile yenu hayaruhusu mnalazimisha tu.Shida ni moja mkuu ,maumbile ya mwanamke hayaruhusu kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja wanaforce tu mkuu,
Sasa kumbe mwanamke ndo hahitaji kubadili kitoweo!? Basi nae ni halali kuwa na Mchepuko kama nawe unaona ni halali kuwa nae, kuwa na mwanamke mmoja inawezaje kuwa ngumu kwa mtoto wa kiume! Unataka kusema wanaume wote duniani wana wanawake wawili wawili! Au ni kichwa ngumu tu na kukariri. Haya huyo unaemchepukia we ndo unasababisha awe na mchepuko ukimchepukia inamaanisha wewe ndo mchepuko wake na mkeo pia atakuwa na mchepuko sababu kuna mwanaume ambae hawezi kuishi bila mchepuko hivyo itakuwa ni mchepuko cyclemkuu hili jambo kwa mtoto wa kiume ni gumu sana tusidanganyane,kama utaowa mke mmoja basi jua utakuwa na mchipuko,hakuna anaweza himili hili,inafika mahali utataka kubadilisha kitoweo
Hebu ongelea uhalisia acha mambo ya kufikirika, hakuna kitu kama hicho wewe!! Hakuna mwanamke anaeridhika kwa moyo mmoja mumewe kuoa mke mwingine ni vile tu dini inalazimisha. Hivi mume ana wake wanne alau umpende upendo uleule ambao ungempenda akiwa na wewe tu!!! Hebu hata wewe fikiria kidogo, inakuingia akilini?Mbona wapo wenzenu wanaishi na mume mmoja wao wako wanne na hakuna anaechepuka? na wanaishi kwa furaha tu. Mapenzi hayaishii kwa mmoja tu ukiwa unatimiza majukumu yako katika ndoa kwa mumeo. mapenzi yanaanza kuisha pale unapojenga dharau kwa mumeo. wanawake wa siku izi bana.... eti na yeye akatafute kafaraja.... yaani akili zenu zimekuwa kingonongono tu. Ndo maana mtaendelea kutumiwa vizuri....mkiona fahari eti...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata maumbile yenu hayaruhusu mnalazimisha tu.
Nyie mmeona kuoa wake wengi tu ndio sunna na ndio mafundisho ya dini lakini kumsaidia mkeo kazi,kwenda sokonin n.k kwenu sio sunnawanaowa kwa kufata mafundisho ya dini mkuu
Kuchapiwa kawaida Mkuu.Eeeh ndio
Nani anataka dushe la foleni? Mambo ya zamu.????
Wakati wewe unaliwazwa na yeye analiwazwa.....unadhani kuna mwanamke anapenda ukewenza????
Ila wanaume viumbe wa ajabu sana....
Kumridhisha mwanamke 1 tu kazi sasa unapowapanga 11 unategemea nini???
Mswati tu na ufalme wake amechapiwa....
(
LadyAj😛unguza jazba kwanza twende taratibu ,hapa tupo kwenye kuangalia changamoto za ndoa za mitala na makosa yapo wapiii,Nyie mmeona kuoa wake wengi tu ndio sunna na ndio mafundisho ya dini lakini kumsaidia mkeo kazi,kwenda sokonin n.k kwenu sio sunna
Nyie mmeona kuoa wake wengi tu ndio sunna na ndio mafundisho ya dini lakini kumsaidia mkeo kazi,kwenda sokonin n.k kwenu sio sunna