Changamoto za uke wenza

...baba yangu mzazi alikuwa na wake wa5 - sikuwahi ona familia ikisarambatika kamwe.
...jamaa asichukulie reference ya familia yake na kutisha watu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndio hapo sasa!!! Yeye baba yake hakua na msimamo na familia yake hakuiheshimu ndio maana yote yakatokea

Sisi kwetu kwanza ni marufuku kusikika neno wa kambo sijui, wote ni mama tofauti ndio hapo mamkubwa/mdogo bibi ni bibi na kokote mtu anapojisikia kwenda anaenda (kila mke na mji wake) mpaka ujue undugu ni kwasababu ya babu tu labda mtu akuambie tu

Na wajomba zangu wameoa wake wawili wawili na wala hakuna shida yoyote tuliyosikia
 
Ngoja nikuambie alipokosea baba yako.

Mwanaume ukitaka kuoa mke mwingine, chondechonde usichanganye nyumba. Mjengee mmoja kuleeeeee, na mwingine kuleeeeeeeeee.

Kama laiti baba yako angemjengea nyumba huyo mwanamke, usingekuja hapa kuhadhithia kwa sababu msingekuwa mnaingiliana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo alikuwa marehemu babu yako, sio kila mtu yuko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
last time i see wewe ndio una negative vibe coz umefikiria very wrong.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro, sio kwamba wanaume wanaoa wake za pili just coz wa kwanza ana taia mbaya... inaweza kuwa mwanaume ndio mwenye tabia mbaya na zimemshinda mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
haikuwa hivyo, anyway hata kama wako mbali... kama mtu ni muovu ni muovu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I bet wewe ni wa kike. Hivyo ulikuwa unalishwa sumu na mamako kuwa bi mdogo ni mshirikina. Nina imani binafsi hujawahi kuona mamako mdogo akifanya ushirikina.
Binafasi babangu ana wake 4, watoto wote wa kiume tulikuwa tunakula pamoja na baba. Watoto wote wa kike wanakula sehemu moja na mama zao. Mpaka leo tunapendana na tunatembeleana
 
Una miaka mingapi kiumri? Naona unamwonea wivu baba yako we pambana na hali yako
 
Someni kile wanawake wenzenu wa kenya wameomba hebu acheni kuwa wajinga aisee. Sinhle mothers humu ni wengi ajabu, wapo tayari kujishkisha popote, hivi kama wanaume waliowazalisha wangeruhusiwa kuwaoa si tusingekuwa na watoto wa migaani leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio wa kike boss, na stori yangu ilikuwa ndefu ila kwa info kwako, kuna wakati yule mzee alimbamba na kwa hasira akampeleka hadi kwa huyo mganga wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…