Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Kweli kabisa,na visukari plus pressure!! Waache wajitutumue tu watuache wajane.
ila wana moyo sana... halaf unakuta kila mke anataka asimamie ukucha... we mwezi tu huna jipya.. ha!!! ha!!! ha!!!
 
Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
Mwanamke ni rahisi sanaaaa kuridhika, ni vile hawatumii akili tu zaidi ya nguvu. Hataa wasingekuwa wanalalamika kuhusu wanawake.
 
Lakini espy nyie mnamatatizo pia ,
mfano unakuta ushajua uyu babu anakisukari ,pressure mixer na degedege la ukubwani na ww unakubali kwenda kuolewa nae,

hivi unataraji nini na hasa unakwenda kuwa mke wa pili,alafu unakuta kuna kijana ana nguvu zake tu za kutosha unamtosa kisa tu hajajipanga kimaisha ,

sasa wakati mwingine huwa mnayataka maana ndo mnakuta hamridhishwi mwisho watakuja wafia wazee wa watu kifuani mpate kesi bureeer
 
Wanafikiri mchezo!! yaani najipanga na mke mwenzangu ni kukukamua tu non stop, mbona utakimbia mji.
 
Ufanyeje?! Oa mwanamke mmoja ndo suluhisho.
mkuu hili jambo kwa mtoto wa kiume ni gumu sana tusidanganyane,kama utaowa mke mmoja basi jua utakuwa na mchipuko,hakuna anaweza himili hili,inafika mahali utataka kubadilisha kitoweo
 
Lakini espy nyie mnamatatizo pia ,
mfano unakuta ushajua uyu babu anakisukari ,pressure mixer na degedege la ukubwani na ww unakubali kwenda kuolewa nae,

hivi unataraji nini na hasa unakwenda kuwa mke wa pili,alafu unakuta kuna kijana ana nguvu zake tu za kutosha unamtosa kisa tu hajajipanga kimaisha ,

sasa wakati mwingine huwa mnayataka maana ndo mnakuta hamridhishwi mwisho watakuja wafia wazee wa watu kifuani mpate kesi bureeer
Ushajijibu tayari katika maswali yako mawili, ni kuwa natafuta kile ambacho huna basi.
Kwahiyo ukiwa na nguvu kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Lasivyo basi tena.
 
Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,

Sasa mlitaka tujitangaze kuwa tumeshindwa kuwashughulikia ?
 
Si walijifanya kushindana na Mungu sasa wanaumbuka, acha wajitutumue tu. Ila ukisikia unasaidiwa kuwa mpoleee tena muheshimu mume mwenzio.
Hahaha Sidhani kama tunaweza kuwaheshimu waume wenza zaidi huwa tunawafanya kina mvuto kaoge,(Kwa kuwapigia kwa Tigo ya 713)Tunazidi kupunguza marijali baada ya kuongeza ,wakati hapo hapo bado kuna uhaba wa wanaume marijali[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mwanamke ni rahisi sanaaaa kuridhika, ni vile hawatumii akili tu zaidi ya nguvu. Hataa wasingekuwa wanalalamika kuhusu wanawake.
Subutu ,kama mngekuwa mnaridhika wala tusingepita tunalalamika kila kukicha
 
Ushajijibu tayari katika maswali yako mawili, ni kuwa natafuta kile ambacho huna basi.
Kwahiyo ukiwa na nguvu kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Lasivyo basi tena.
Kwa zama hizi za chipsi yai ,kubalance kombi ni ishu ngumu,

Yaan ukipata mzuri kitandani basi ujuwe uchumi uko hovyooo.

mungu hakupi vyote mtuonee huruma
 
mkuu haya mambo tukubalini tu tumeshindwa... hatuyawezi sisi... uje ufe kitandani bureeee!!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mkuu unafkiri mimi nabisha hapana yaani nimekubali kwa asilimia mia tumefeli na hatujijui kama tumefelii na hatukubali kama tumefelii.

Hili ndo tatizo sasa
 
kitu ambacho nawakubali mademu.. ukimuuliza.. "baby nimekurizisha!" anakujibu "ndiyo..!!!" ha!!!! ha!!!! ha!!!!
 
Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,

Sasa mlitaka tujitangaze kuwa tumeshindwa kuwashughulikia ?
Sio mjitangaze mkuu bali uoe unayeweza kumtosheleza kwa kila kitu na sio mapenzi pekee.
 
Hahaha Sidhani kama tunaweza kuwaheshimu waume wenza zaidi huwa tunawafanya kina mvuto kaoge,(Kwa kuwapigia kwa Tigo ya 713)Tunazidi kupunguza marijali baada ya kuongeza ,wakati hapo hapo bado kuna uhaba wa wanaume marijali[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kama hamuwezi kuhehimu waume wenza basi muwe wapole, muoe na kutulia na mmoja.
 
Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,

Sasa mlitaka tujitangaze kuwa tumeshindwa kuwashughulikia ?
Ndio muufyate, muwe wapole tuu tuvumiliane.
 
Back
Top Bottom