The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,357
- 3,835
ila wana moyo sana... halaf unakuta kila mke anataka asimamie ukucha... we mwezi tu huna jipya.. ha!!! ha!!! ha!!!Kweli kabisa,na visukari plus pressure!! Waache wajitutumue tu watuache wajane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila wana moyo sana... halaf unakuta kila mke anataka asimamie ukucha... we mwezi tu huna jipya.. ha!!! ha!!! ha!!!Kweli kabisa,na visukari plus pressure!! Waache wajitutumue tu watuache wajane.
Mwanamke ni rahisi sanaaaa kuridhika, ni vile hawatumii akili tu zaidi ya nguvu. Hataa wasingekuwa wanalalamika kuhusu wanawake.Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
Lakini espy nyie mnamatatizo pia ,Kweli kabisa,na visukari plus pressure!! Waache wajitutumue tu watuache wajane.
Wanafikiri mchezo!! yaani najipanga na mke mwenzangu ni kukukamua tu non stop, mbona utakimbia mji.ila wana moyo sana... halaf unakuta kila mke anataka asimamie ukucha... we mwezi tu huna jipya.. ha!!! ha!!! ha!!!
mkuu hili jambo kwa mtoto wa kiume ni gumu sana tusidanganyane,kama utaowa mke mmoja basi jua utakuwa na mchipuko,hakuna anaweza himili hili,inafika mahali utataka kubadilisha kitoweoUfanyeje?! Oa mwanamke mmoja ndo suluhisho.
Ushajijibu tayari katika maswali yako mawili, ni kuwa natafuta kile ambacho huna basi.Lakini espy nyie mnamatatizo pia ,
mfano unakuta ushajua uyu babu anakisukari ,pressure mixer na degedege la ukubwani na ww unakubali kwenda kuolewa nae,
hivi unataraji nini na hasa unakwenda kuwa mke wa pili,alafu unakuta kuna kijana ana nguvu zake tu za kutosha unamtosa kisa tu hajajipanga kimaisha ,
sasa wakati mwingine huwa mnayataka maana ndo mnakuta hamridhishwi mwisho watakuja wafia wazee wa watu kifuani mpate kesi bureeer
Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.
Hahaha Sidhani kama tunaweza kuwaheshimu waume wenza zaidi huwa tunawafanya kina mvuto kaoge,(Kwa kuwapigia kwa Tigo ya 713)Tunazidi kupunguza marijali baada ya kuongeza ,wakati hapo hapo bado kuna uhaba wa wanaume marijali[emoji1] [emoji1] [emoji1]Si walijifanya kushindana na Mungu sasa wanaumbuka, acha wajitutumue tu. Ila ukisikia unasaidiwa kuwa mpoleee tena muheshimu mume mwenzio.
Dah nimecheka sana leo ,mpaka naonekana mwehu ..ila wana moyo sana... halaf unakuta kila mke anataka asimamie ukucha... we mwezi tu huna jipya.. ha!!! ha!!! ha!!!
Subutu ,kama mngekuwa mnaridhika wala tusingepita tunalalamika kila kukichaMwanamke ni rahisi sanaaaa kuridhika, ni vile hawatumii akili tu zaidi ya nguvu. Hataa wasingekuwa wanalalamika kuhusu wanawake.
mkuu haya mambo tukubalini tu tumeshindwa... hatuyawezi sisi... uje ufe kitandani bureeee!!!!!Dah nimecheka sana leo ,mpaka naonekana mwehu ..
Duhhatar sana
Kwa zama hizi za chipsi yai ,kubalance kombi ni ishu ngumu,Ushajijibu tayari katika maswali yako mawili, ni kuwa natafuta kile ambacho huna basi.
Kwahiyo ukiwa na nguvu kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Lasivyo basi tena.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mkuu haya mambo tukubalini tu tumeshindwa... hatuyawezi sisi... uje ufe kitandani bureeee!!!!!
Sio mjitangaze mkuu bali uoe unayeweza kumtosheleza kwa kila kitu na sio mapenzi pekee.Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,
Sasa mlitaka tujitangaze kuwa tumeshindwa kuwashughulikia ?
Si unaona sasa!!!Subutu ,kama mngekuwa mnaridhika wala tusingepita tunalalamika kila kukicha
Kama hamuwezi kuhehimu waume wenza basi muwe wapole, muoe na kutulia na mmoja.Hahaha Sidhani kama tunaweza kuwaheshimu waume wenza zaidi huwa tunawafanya kina mvuto kaoge,(Kwa kuwapigia kwa Tigo ya 713)Tunazidi kupunguza marijali baada ya kuongeza ,wakati hapo hapo bado kuna uhaba wa wanaume marijali[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh hapa patamu kweliSio mjitangaze mkuu bali uoe unayeweza kumtosheleza kwa kila kitu na sio mapenzi pekee.
Ndio muufyate, muwe wapole tuu tuvumiliane.Emmyata na espy ,Tafadhali msituvuwe nguo ,heshima ichukuwe mkondo wake [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnatuanika,
Sasa mlitaka tujitangaze kuwa tumeshindwa kuwashughulikia ?
Hapo kwenye kuwa wapole ndo pagumu ,Ndio muufyate, muwe wapole tuu tuvumiliane.