Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Michepuko Tabia tu lillikuja swala la ukimwi watu ndoa za mitaara nisababu mzazibari akainuka akasema kumbe zenji inawezekana kuwa namaabukizi mengi kuliko iringa maana ndo twaongoza kua name zaidi ya mmoja.TAFAKARI
 
Anachokipanga Allah wallah ni ngumu wanadamu kukifitini!
Mwenyezi Mungu akusamehe wewe na mamako mzazi aliyekuhifadhi tumboni miezi tisa uku ukiwa hujitambui umelala fofofo!
 
Huyo mmoja tu kumtosheleza ni issue sasa wakiwa 3 si mtihani?
 
Sasa kahaba hata hizo post ni za kujenga kwa sababu through them umejifunza si ndio eeeh!! Hakuna njia moja tu ya kujifunza kijana, haki ya kwanza kwenye ndoa ndio hiyo alafu vingine vinafuata, haimaanishi kuwa thats the only thing ila vipo vingine vya muhimu pia.

Ndio mtambue kuwa kama mnajijua hamna hizo nguvu basi msijitie ujuaji wa kuoa mke zaidi ya mmoja tu wakati hata huyo mmoja tu kumridhisha huwezi, kama hauna uwezo hauna tu wala usitafute justifications.
kwa nlichojifunza kupitia post zako ambazo ni uovu tu, kwamba mume akioa mke mwengine bi dada nae achepuke tu akajifariji, hii elimu au uovu wa ibilisi?

Nilitegemea utajali heshima ya mwanamke na kukemea suala la uchepukaji kumbe umekuwa campaign manager wa uchepukaji. Wewe unajenga unabomoa kwa kuhamasisha uchepukaji? mana ungesema mke akae na mumewe na kumueleza matatizo yaliopo, kama angejisikia vibaya kuolewa kwa mke mwengine akihofia mapenzi kwake yatapungua. Mke mwema na mume mwema wewe humjui.

Sasa ngoja nkupe darsa ndogo mana yawezekana kuna post hukuiona.

Dini ya kikristo hairuhusu kuoa wake wawil ni mmoja tu. Uislam ndio unaoruhusu kuoa zaidi ya mmoja.

((Basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu)) hii ni aya katika quran.

Zingatia mwisho imesema ukiogopa kama huwezi kufanya uadilifu basi mmoja tu. hili sio ombi ni amri. Mwanaume kama huna uadilifu kwa wake wote sawa unapata dhambi na sio thawabu. Uadilifu huu sio tu kwenye mali na malisho, kwenye haki zote za mme kwa mke katika ndoa. kama huna uwezo wa kufanya nao mapenzi sawa basi usioe. Mara nyingi mme akiongeza mke wa pili basi utaona mke huyo ni mdogo na utaona kuwa anampenda zaidi huyo kichanchira, na hili katika uislam halitakiwi mana ndo uadilifu unapokosekana!
 
Si mnaiba wote, sasa kwanini usimtambue.
basi kama kumjua mtu mwizi basi wewe utakuwa raisi mana unamjua magufuli kuwa rais ila nashangaa huna mamlaka ya kiraisi sio.... 😀 kweli akili zako finyu
 
Rais ni nini? Yes mimi ni rais na nina mamlaka. Usiniulize ni rais wapi.
Sawa kahaba!
 
kwa nlichojifunza kupitia post zako ambazo ni uovu tu, kwamba mume akioa mke mwengine bi dada nae achepuke tu akajifariji, hii elimu au uovu wa ibilisi?

Nilitegemea utajali heshima ya mwanamke na kukemea suala la uchepukaji kumbe umekuwa campaign manager wa uchepukaji. Wewe unajenga unabomoa kwa kuhamasisha uchepukaji? mana ungesema mke akae na mumewe na kumueleza matatizo yaliopo, kama angejisikia vibaya kuolewa kwa mke mwengine akihofia mapenzi kwake yatapungua. Mke mwema na mume mwema wewe humjui.

Sasa ngoja nkupe darsa ndogo mana yawezekana kuna post hukuiona.

Dini ya kikristo hairuhusu kuoa wake wawil ni mmoja tu. Uislam ndio unaoruhusu kuoa zaidi ya mmoja.

((Basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu)) hii ni aya katika quran.

Zingatia mwisho imesema ukiogopa kama huwezi kufanya uadilifu basi mmoja tu. hili sio ombi ni amri. Mwanaume kama huna uadilifu kwa wake wote sawa unapata dhambi na sio thawabu. Uadilifu huu sio tu kwenye mali na malisho, kwenye haki zote za mme kwa mke katika ndoa. kama huna uwezo wa kufanya nao mapenzi sawa basi usioe. Mara nyingi mme akiongeza mke wa pili basi utaona mke huyo ni mdogo na utaona kuwa anampenda zaidi huyo kichanchira, na hili katika uislam halitakiwi mana ndo uadilifu unapokosekana!
Kama ndicho ulichojifunza basi tatizo sio langu ni lako maana unajifunza kulingana na kile kinachotodha akili yako.

Hiyo elimu nyingine naitambua vyema ndio maana katika post zangu nilisisitiza hilo.
Hayo mengine ni yako walaaa hayanihusu.
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu tu, hata akiwa ni mke mmoja pekee akiamua kufanya umalaya anafanya tu!

Mbona mitaani huku tunajionea wake za watu wanakazwa na waendesha bodaboda, wauza genge nk ilhali wapo kwenye ndoa ya mke mmoja?

Inamaana mwanamke achepuke eti kisa ameshindwa kusubiri siku tatu mume akiwa kwa mke mwenzake?

Siku tatu tu anashindwa kusubiri je huyo mume akiugua mwaka mzima itakuaje?
 
kwa muono wako yes ni tatizo langu kuona kama unavohasamisha uchepukaji ni viruzi ikiwa mimi naona ni vibaya..... Ikiwa ukahaba kwako ni jambo zuri na elimu ya kujifunza basi sawa nakubali nna matatizo..... 😀
 
Sawa, uendokane na hilo tatizo.
 
Silka ya mtu tu....kuridhika au kutoridhika ni jinsi utakavyoiambia akili na mwili wako...Si wote ambao wana mtu zaidi ya mmoja kwa sababu ya kutoridhishana, Wapo wengine hata hawajui wanataka/wanafata nini hasa huko waendako..Unaweza ukawa na mnoja ukamtimizia yote kimwili na kiroho lakini akauza mechi vilevile..
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu tu, hata akiwa ni mke mmoja pekee akiamua kufanya umalaya anafanya tu!

Mbona mitaani huku tunajionea wake za watu wanakazwa na waendesha bodaboda, wauza genge nk ilhali wapo kwenye ndoa ya mke mmoja?

Inamaana mwanamke achepuke eti kisa ameshindwa kusubiri siku tatu mume akiwa kwa mke mwenzake?

Siku tatu tu anashindwa kusubiri je huyo mume akiugua mwaka mzima itakuaje?
Mkuu nimekuelewa sana na nakubaliana nao ,

ila yapo malalamiko ambayo wengi wameyatoa umu kuwa sababu kubwa inachowafanya watembee service road ni kukosa ile haki ya kimsingi ,
ambayo mbali na kuingojea kwa foleni lakin anapokuja ipata pia haimkidhi aukutatua matakwa ya nafsi yake,

Na ukifatilia michango ya watu wengi umu utagundua kuwa wengi wanaotaka kuowa mke zaidi ya mmoja hawakidhi vigezo ambavyo vimetajwa na aya husika ,ambayo ilikuja kuruhusu ndoa za uke wenza,na kuweka limit mwisho wa nne,

wengi wanashindwa kuelewa kuwa Ndoa hizi za mke zaidi ya mmoja zilikuwepo enzi za ujahiliya ,ila uislam ulikuja kuboresha na kuweka limit ya kuowa wanawake,

zamani watu walikuwa wanajimilikia wanawake namna watakavyo na mwanamke alikuwa hana hadhi wala thamani zaidi alichukuliwa kama asset,
 
Hili agizo lilikuja na condition moja ambayo ni UADILIFU.na uadilifu ni kila kitu ikiwa pamoja na kuwaridhisha wote kitandani so kama mume hawezi kuwa muadilifu katika nyanja zote hizo.mwanamke akachepuka then dhambi ipo kwa huyu mume unless iwe ni tabia yake mwenyewe.
Asanteni
 
Mkuu unataka kusema kuwa ikiwa mume kashindwa uadilifu mke akaenda kuchepuka, dhambi ana mume na mke hapati? Dini gani hio mkuu?
 
Hapana wote ni wadhambi ila mume ndo ataadhibiwa zaid kwa kumsababishia huyu bibi kuchepuka.
 
Hili agizo lilikuja na condition moja ambayo ni UADILIFU.na uadilifu ni kila kitu ikiwa pamoja na kuwaridhisha wote kitandani so kama mume hawezi kuwa muadilifu katika nyanja zote hizo.mwanamke akachepuka then dhambi ipo kwa huyu mume unless iwe ni tabia yake mwenyewe.
Asanteni
mashallah 3alek [emoji106] [emoji106] [emoji106]

umezungumza maneno Sah ila hapo kwenye dhambi atazibebea mume hapana

Yaan mtu asifanye maasi kutegemea dhambi atapata flani maana yeye ndo kasababisha.

Kila mtu ana wajibu wake kwa mwenzie na kila mtu ataulizwa juu ya wajibu wake kwa mwenzio,na mtoto wa kike anapoona Ndoa haiwezi kwa maana hapati haqi yake ya msingi ,basi suluhisho sio kuchipuka ?
Suluhisho ni kujivua katika ndoa hiyo,
maana akichipuka basi dhambi ziko juu yake ,na yule mume aloshindwa timiza wajibu wake kwa mkewe pia naye yumakosani
 
Back
Top Bottom