Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Watu hawazijui ndoa, wanalopoka lopoka tu! Amani na uaminifu katika ndoa hauletwi na ubikira wa mwanamke
Exactly.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawazijui ndoa, wanalopoka lopoka tu! Amani na uaminifu katika ndoa hauletwi na ubikira wa mwanamke
kwa nlichojifunza kupitia post zako ambazo ni uovu tu, kwamba mume akioa mke mwengine bi dada nae achepuke tu akajifariji, hii elimu au uovu wa ibilisi?Sasa kahaba hata hizo post ni za kujenga kwa sababu through them umejifunza si ndio eeeh!! Hakuna njia moja tu ya kujifunza kijana, haki ya kwanza kwenye ndoa ndio hiyo alafu vingine vinafuata, haimaanishi kuwa thats the only thing ila vipo vingine vya muhimu pia.
Ndio mtambue kuwa kama mnajijua hamna hizo nguvu basi msijitie ujuaji wa kuoa mke zaidi ya mmoja tu wakati hata huyo mmoja tu kumridhisha huwezi, kama hauna uwezo hauna tu wala usitafute justifications.
basi kama kumjua mtu mwizi basi wewe utakuwa raisi mana unamjua magufuli kuwa rais ila nashangaa huna mamlaka ya kiraisi sio.... 😀 kweli akili zako finyuSi mnaiba wote, sasa kwanini usimtambue.
Rais ni nini? Yes mimi ni rais na nina mamlaka. Usiniulize ni rais wapi.basi kama kumjua mtu mwizi basi wewe utakuwa raisi mana unamjua magufuli kuwa rais ila nashangaa huna mamlaka ya kiraisi sio.... 😀 kweli akili zako finyu
Kama ndicho ulichojifunza basi tatizo sio langu ni lako maana unajifunza kulingana na kile kinachotodha akili yako.kwa nlichojifunza kupitia post zako ambazo ni uovu tu, kwamba mume akioa mke mwengine bi dada nae achepuke tu akajifariji, hii elimu au uovu wa ibilisi?
Nilitegemea utajali heshima ya mwanamke na kukemea suala la uchepukaji kumbe umekuwa campaign manager wa uchepukaji. Wewe unajenga unabomoa kwa kuhamasisha uchepukaji? mana ungesema mke akae na mumewe na kumueleza matatizo yaliopo, kama angejisikia vibaya kuolewa kwa mke mwengine akihofia mapenzi kwake yatapungua. Mke mwema na mume mwema wewe humjui.
Sasa ngoja nkupe darsa ndogo mana yawezekana kuna post hukuiona.
Dini ya kikristo hairuhusu kuoa wake wawil ni mmoja tu. Uislam ndio unaoruhusu kuoa zaidi ya mmoja.
((Basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu)) hii ni aya katika quran.
Zingatia mwisho imesema ukiogopa kama huwezi kufanya uadilifu basi mmoja tu. hili sio ombi ni amri. Mwanaume kama huna uadilifu kwa wake wote sawa unapata dhambi na sio thawabu. Uadilifu huu sio tu kwenye mali na malisho, kwenye haki zote za mme kwa mke katika ndoa. kama huna uwezo wa kufanya nao mapenzi sawa basi usioe. Mara nyingi mme akiongeza mke wa pili basi utaona mke huyo ni mdogo na utaona kuwa anampenda zaidi huyo kichanchira, na hili katika uislam halitakiwi mana ndo uadilifu unapokosekana!
Kama ndicho ulichojifunza basi tatizo sio langu ni lako maana unajifunza kulingana na kile kinachotodha akili yako.
Hiyo elimu nyingine naitambua vyema ndio maana katika post zangu nilisisitiza hilo.
Hayo mengine ni yako walaaa hayanihusu.
Sawa, uendokane na hilo tatizo.kwa muono wako yes ni tatizo langu kuona kama unavohasamisha uchepukaji ni viruzi ikiwa mimi naona ni vibaya..... Ikiwa ukahaba kwako ni jambo zuri na elimu ya kujifunza basi sawa nakubali nna matatizo..... 😀
Mkuu nimekuelewa sana na nakubaliana nao ,Kuchepuka ni hulka ya mtu tu, hata akiwa ni mke mmoja pekee akiamua kufanya umalaya anafanya tu!
Mbona mitaani huku tunajionea wake za watu wanakazwa na waendesha bodaboda, wauza genge nk ilhali wapo kwenye ndoa ya mke mmoja?
Inamaana mwanamke achepuke eti kisa ameshindwa kusubiri siku tatu mume akiwa kwa mke mwenzake?
Siku tatu tu anashindwa kusubiri je huyo mume akiugua mwaka mzima itakuaje?
bora nibaki na tatizo langu la kutoukubali uchepukaji na kuupinga..... hayo nawaachia nyie wapenzi wa izo vituSawa, uendokane na hilo tatizo.
Mkuu unataka kusema kuwa ikiwa mume kashindwa uadilifu mke akaenda kuchepuka, dhambi ana mume na mke hapati? Dini gani hio mkuu?Hili agizo lilikuja na condition moja ambayo ni UADILIFU.na uadilifu ni kila kitu ikiwa pamoja na kuwaridhisha wote kitandani so kama mume hawezi kuwa muadilifu katika nyanja zote hizo.mwanamke akachepuka then dhambi ipo kwa huyu mume unless iwe ni tabia yake mwenyewe.
Asanteni
Hapana wote ni wadhambi ila mume ndo ataadhibiwa zaid kwa kumsababishia huyu bibi kuchepuka.Mkuu unataka kusema kuwa ikiwa mume kashindwa uadilifu mke akaenda kuchepuka, dhambi ana mume na mke hapati? Dini gani hio mkuu?
mashallah 3alek [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hili agizo lilikuja na condition moja ambayo ni UADILIFU.na uadilifu ni kila kitu ikiwa pamoja na kuwaridhisha wote kitandani so kama mume hawezi kuwa muadilifu katika nyanja zote hizo.mwanamke akachepuka then dhambi ipo kwa huyu mume unless iwe ni tabia yake mwenyewe.
Asanteni