Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,

Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]

Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
Umeolewa lakini?
 
Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.

Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Ni ngumu sana hii jamani
 
Shida mwananmke akishazaa tu huwa mnaanza kiburi, kubania mzigo na kero debe sasa kuchepuka kama hamjua wanaume huwa tunatumia hela nyingi sana. Pima tu kama una boyfriend mwenye kazi huwa mnatumia sh. Ngapi kila mkikutana, halafu weka kuwa huyo ndo mumeo na akichepuka ndo hela anayoitumia kila week na wewe ndan u ambania bania
 
Back
Top Bottom