Changamoto zinazotokana na vita Iran ni Fursa kwa waTanzania wanaonyanyaswa

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.

Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi.

Baadhi ya mataifa yaliyokuwa katika mpango wa kuchangia kufanya hali yetu kuwa duni zaidi, wakati huu yameelekeza nguvu zao katika kujihami na vita hiyo.

Tutumie nafasi hii ya ugumu wa maisha kujikwamua kutoka kwa hawa wadhalimu wanaotugeuza kuwa watwana katika taifa letu.

Tufanye nini kujikwamua; tuandamane ili tuuliwe tena?

Hapana. Kuna maandamano yasiyohitaji kuuliwa. Ni swala la kujipanga tu na kuwa na ujasiri wa kuyatekeleza.
Ufafanuzi wa hili utafuata mbele ya safari; na mbinu nyingi nyingine zinazoweza kufanywa na kila mtu, hata bila ya kuingia kwenye maandamano.

Wadhalimu wapo kwenye hali hafifu zaidi wakati huu kuliko walivyowahi kuwa dhaifu.
 
Chadema lissu yupo ndani na hujui atatoka lini
 
Hauna kazi ya kufanya ,mvua zote hizi nenda ukalime
 
Back
Top Bottom