BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
UongoKibaha nchi nyingine ile wallahi. Kutoka mbezi nauli 1600. Mbezi pale stendi ya mkoa š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UongoKibaha nchi nyingine ile wallahi. Kutoka mbezi nauli 1600. Mbezi pale stendi ya mkoa š¤£
Unamaanisha kibaha ipi?? Maana kutoka mbezi mpaka kibaha milemoja ni sh 700 tu, picha ya ndege 1200 sasa ww unamanisha ipiKibaha nchi nyingine ile wallahi. Kutoka mbezi nauli 1600. Mbezi pale stendi ya mkoa
wilaya ya kinondoniMkuu kwa mtu anaejitafuta unashauri achukue wapi kiwanja sasa maana mimi nilianza kufikiria huko chanika
vipi distance Kibaha - Posta sio mbali sanaAchana napo Chanika, bora uende Kibaha
Kama maeneo gani? zingatia mtu anaejitafuta.wilaya ya kinondoni
Kuna wakati mnachimba dawa kabisa.Leo nimeamini Chanika ilipaswa iwe mkoa wa Pwani.
Angalia picha inajieleza kabisaView attachment 3100573View attachment 3100574
Kuna sehemu inaitwa Minyamleni kule kule Chanika...daahLeo nimeamini Chanika ilipaswa iwe mkoa wa Pwani.
Angalia picha inajieleza kabisaView attachment 3100573View attachment 3100574
Tena hii ni chupa ya chai. Maana ina mlango mmoja tuLeo nimeamini Chanika ilipaswa iwe mkoa wa Pwani.
Angalia picha inajieleza kabisaView attachment 3100573View attachment 3100574
Kwa kutokea wapi?Chanika mbali kama kibaha?
Kibaha ni kubwa. Mbezi - Kibaha Mailimoja ni 600/-. Hiyo 1600/- ni Mbezi - Kibaha Kongowe ambapo ni 30s kmKibaha nchi nyingine ile wallahi. Kutoka mbezi nauli 1600. Mbezi pale stendi ya mkoa š¤£
Kibaha ipi dk 45?Ah wapi! Kibaha kuja mbezi unajua ni zaidi ya dakika 45? Mnapishana vipi dakika 30? Anatumia usafir wa kwake au wa umma?
Huenda. Maana nauli ni 800/- goms - chanikaYou can't be serious... nauli ingekuwa elfu 2 hapo
40 kilometa kwa mujibu wa LATRAvipi distance Kibaha - Posta sio mbali sana
800 tu? Sasa huoni gep kubwa? Chanika to kariakoo 1300 tuHuenda. Maana nauli ni 800/- goms - chanika
KongoĆØKibaha ipi dk 45?
City centerKwa kutokea wapi?
Sio mbali na barabara haina forenivipi distance Kibaha - Posta sio mbali sana