Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Vijana wa kitanzania wamamatatizo sana especially uwezo wakujiandaa Kwa ajili ya baadae, akili zao wengi zimejikita posta, sehemu yakujenga anaangalia umbali kutoka posta.
Fungueni ubongo huko chanika mnapopadharau ndio unaweza kupata maeneo makubwa ya kufanya uwekezaji na pia ipo ndani ya Jiji kwaiyo ni rahisi kupata huduma za Jiji.
Wapo madon wakubwa waliwekeza mitaa kama kinyerezi, ukonga, kitunda kwasasa wanakula kuku Kwa mlija.

Wapo madon wapo chanika wanawaangalia tu wao Kila siku wanaongeza maeneo, na hapa hapatoshi wameanza kuwekeza mvuti na masaki.
 
Back
Top Bottom