#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

Kwa elimu ya chanjo niliyo nayo na hii miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
da!!!, Mwenyezi Mungu atusaidie....
 
Pia mwenyekiti wa CHADEMA alisema watu walazimishwe kuchanja inamaana ameshindwa kuwalazimisha makamanda wote wachanjwe?
Kuna kitu hakiko sawa kwenye chanjo za J&J in term of efficacy kulinganisha na chanjo nyingine za Uviko 19, ila nilisikia bakabaka na askari wengine walichanjwa kwa nguvu, nje ya hapo unatengwa.

Bora tungeendelea kuyaishi maneno ya Hayati Tanzania ingeendelea kuwa salama.
 
Bakabaka hawa hawa wa Tanzania? Madam ana ubavu huo? Nikweli mkuu, JPM alikuwa mashine yule jamaa.
 
Hili la Chanjo Wizara imechemka. Haikufuata utaalamu mzuri kuwashauri wananchi badala yake wakatumia mapendekezo ya kamati ya kisiasa.
 
Sema huogopi wew, jiwe mwenyewe ilimdondosha baada ya kuiletea ujuaji
 
Takwimu zake ziko jikoni zinakaangizwa zikikwivya mtatengewa mezani.
 
Sema huogopi wew, jiwe mwenyewe ilimdondosha baada ya kuiletea ujuaji
Kama wangelikuwa wanaiogopa corona hivo,watu wangelikimbilia chanjo,pamoja na promotion zote,wamepata watu laki tatu tu,hauoni kuwa watu hawaogopi corona?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuku wangu ninao wafuga nikitaka kuwapa chanjo nikienda dukani hiyo chanjo inatolewa kwenye freezer na unapewa na barafu ya ku escort hiyo chanjo.

Na unambiwa kabisa ukishaweka kwenye maji ndani ya masaa 2 tu imwage vinginevyo kuku watakufa wote maana itageuka sumu!

Sasa hizi za corona sijui wanataka nini hawa watu
 
Nasikia zimebaki 1,995,000 tu na hamna dalili hata ya kupungua moja karibu ukachanjwe mleta mada
 
ukiangalia % kubwa ya watu waliochanja wengi wao wamekuwa wakiugua kwa muda na wengine wameishia kupoteza maisha, hii yote ni kwamba utaratibu mzima wa kuhifadhi sio rafiki
Ni kweli khs suala la uhifadhi, lakini kwa ninavyojua mimi sijaona mtu yeyote aliyepata chanjo nikiwemo mimi, ameugua eti kwa sababu ya chanjo 🙄
 
Hakuna mtanzania mpumbaavu wa kuchoma chanjo za majaribio ovyoovyo
 
Kwa elimu ya chanjo niliyo nayo na hii miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
Nikweli kabisa chanjo zimesha haribika watakao choma sasa wajitizame sana
 
Nnadugu ni nesi yeye hatampango wa kuchanja hana na huwez mshawishi achanje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…