Usiwapumbaze watu wenye umri mkubwa, wahamasishe waende wakachanje, Corona huwa inaondoka na watu wenye umri mkubwa Mara nyingi, kwani hujui hivyo?Chanjo zimewadodea, sasahivi Watanzania sio mapompoma tena,hao mawaziri wawadunge watoto wao,huku kwetu mtaani corona tunaisikia redioni na kwenye matangazo ya tv,sasa nidungwe sumu za nini, wakati corona tangu imeingia sijawai kutana na mgonjwa wa corona,hata mtaani kwangu sijawai kusikia kifo cha mgonjwa wa corona.R.i.p Magufuri kwa kutuambia ukweli,hata ifike wimbi la kumi atuogopi
Msigwa Ni sawa na radio, unapokea matangazo kutoka uwanja wa taifa, anachokisimlia na kilichopo uwanjan Ni Kama yule aliesema yes alkuwa na mke, yaan huwezi kuwaelewa,Msemaji Msigwa anasema mwitikio ni mkubwa sana mpaka sasa watanzania laki 3 wameshachanjwa na foleni ni kubwa kwenye vituo nchi nzima.... unabaki kujiuliza maana ya mwitikio mkubwa ni nini?
ndiyo maana walichagua za JJ maana zinahifadhika katika ubaridi wa kawaida kama chanjo nyingine, tofauti na Pfizer inayohitaji ubaridi wa hasi 50 centgrade100% mkuu, nenda hospitali zote za mikoa uone kama wana vihifadhi chanjo vya kutosha, sasa hizo chanjo walizopeleka huko wanahifadhia wapi hadi muda huu.
Ulishaji uliza kwanini? Uingizaji wa chanjo ni gharama, kuna factor mbalimbali wanaziangalia ikiwemo gharama za usafirishaji hadi uhifadhi ni gharama zaidi ya unavyofikiria, chanjo si sawa na panadol kwamba kila duka la mangi utazikuta.
Hatununui, tumepata za msaada kupitia mpango wa covaxZikiisha watawachoma maji. Hela za kununua chanjo hakuna.
Pumbavu zao, zimesha expire sasandiyo maana walichagua za JJ maana zinahifadhika katika ubaridi wa kawaida kama chanjo nyingine, tofauti na Pfizer inayohitaji ubaridi wa hasi 50 centgrade
Naona jana kawatuma waimba taarab wake wakamnange Gwajima bungeni, hajui kwamba Watanzania tuna akili nyingi na tumeshanusa mwisho wake tayari.Huyo bibi asipowaelewa watz wa leo walioelimishwa na kumuelewa jpm, atapata tabu sana. Sie siyo marofa kiasi hicho aisee kuchezea uhai wetu. Anatakiwa arudi kwenye mstari na ajue tunakisikiliza sana kivuli cha jpm kuliko hata yy aliyeko magogoni
Mtaani kwetu,kuna wazee wengi sana tena wengine wana magonjwa nyemerezi ya kisukari,presha, lakini toka wimbi la kwanza mpaka sasahivi wote wanadunda,wewe kamwamashishe Baba yako na ukoo wenu wote, wengine tumekataa kufanyiwa majalibio.Nasikia Zanzibar inabidi warudie chanjo ya mwanzo haifahi 😀😄😃😃Usiwapumbaze watu wenye umri mkubwa, wahamasishe waende wakachanje, Corona huwa inaondoka na watu wenye umri mkubwa Mara nyingi, kwani hujui hivyo?
Kama hujui kitu si lazma ukiandikie, ni nani? Aliyekudanganya kuwa J&J vaccine ni thermostable? Kumbe ndio mnavyomdanganya mama eeh….ndiyo maana walichagua za JJ maana zinahifadhika katika ubaridi wa kawaida kama chanjo nyingine, tofauti na Pfizer inayohitaji ubaridi wa hasi 50 centgrade
Bibi anahangaika tu magogoni, vibaraka wamemkalia kooni kala hela zao.Mtaani kwetu,kuna wazee wengi sana tena wengine wana magonjwa nyemerezi ya kisukari,presha, lakini toka wimbi la kwanza mpaka sasahivi wote wanadunda,wewe kamwamashishe Baba yako na ukoo wenu wote, wengine tumekataa kufanyiwa majalibio.Nasikia Zanzibar inabidi warudie chanjo ya mwanzo haifahi 😀😄😃😃
Hata mimi kwa kweli niwe mkweli sijawahi kusikia mtu ninayefahamiana nae kabisa amefariki kwa Covid. Ninasikiaga tu kwa watu wakisema. Na hao wanaosema wanasikiaga pia[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa najiuliza sana,majirani zangu,kazini kwangu,marafiki zangu wote tunakutana kila siku, kwenye magroup ya wasap n.k
Sjawahi sikia mtu kafa kwa huu upuuzi...aisee wamefeli vibaya sana
Ataendelea kulishwa matango pori hadi akili imkae sawa, Hayati hakuwa mjinga kufanya ziara za mikoani…Bibi anahangaika tu magogoni, vibaraka wamemkalia kooni kala hela zao.
Nikweli kabisa, wataalamu na watendaji wa Bongo ukiwasikiliza unaweza hisi raia wanaishi maisha bora sana na wanakupenda sana kumbe wanakuingiza mkenge, sasa ukiwa na akili za Msoga inakula kwako.Ataendelea kulishwa matango pori hadi akili imkae sawa, Hayati hakuwa mjinga kufanya ziara za mikoani…
Watu wanataka maji na barabara. Waondolewe makodi ya "ajabu ajabu". Haya mengine ni kukosa focus tu kama taifa
Ebu soma tena uelewe nilichoandikaChoma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chanjo imetuumbua, Dunia imeshatujua kuwa Watanzania bado tupo nyuma sana kielimu, ni watu wa kusikiliza sana maneno ya vijiweni na ni wepesi sana wa kukaririshwa uongo, Hivi haya mataifa yote yaliyoendelea duniani yanawachanja RAIA wao yana nia mbaya na RAIA wao ? Hii haihitaji elimu ya chuo kikuu kugundua bado tuko nyuma sana kielimuHata watumishi wa umma pekee wangemaliza
Je Chanjo zinaexpire lini?Kukataa chanjo ndio unaita kujielewa ? Au ni kwa sababu ya elimu ndogo ?