Hatimaye nilipata chanjo. Uzi kamili ya msingi yanayostahili kurekebishwa
Chanjo ilikuwa bwerere nakuaminishwa juu kuwa ni kwa hisani ya CCM na kuwa Rais wetu mpendwa ndiye aliyekuwa ametufadhili kuipata bure.
Chanjo zote zikiwamo Janssen ya J & J hutolewa kwa maelekezo yaliyo wazi kutoka kwa mtengeneza chanjo husika. Janssen kabla ya kutolewa kwa mtu haya yanahitajika kuchukuliwa: 1. Kipimo cha BP 2. Kipimo cha uzito 3. Kipimo cha maambukizi ya COVID-19 4. Kipimo cha urefu 5. Kipimo cha sukari 6...
Amini usiamini vijijini wameamini hivyo.
Hiiiiii bagosha!