#COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko


Umeandika kama vile ndiyo kwanza umerejea duniani:

1. Sina hakika unayaokota kutoka wapi haya hapa chini kwenye blue?

"Marekani huwezi kuiepuka wewe mtwana kibweka. Hapa ulipo unatumia mtandao wa Marekani."

-- Au unamaanisha Marekani ni wewe na wewe ni Marekani?!

2. Hata hivyo nisiache kuyaweka hapa ambayo ndiyo yaliyo msingi wa mada hii. Haiyumkiniki hujayaona (pamoja na kuwemo kwenye uzi huu katika zaidi ya comments 80 kama yalivyo):



3. Uyaone vipi wewe ukiwa umejawa ujuaji uchwara au machozi ya mamba machoni?!
4. Wapi unapoona miye mtaka chanjo nikiwa nikiumia au kuwa na uchungu au furaha au kusherehekea au kulazimisha au kushadadia nk, kwa MPUMBAVU au MWEREVU awaye yote kuchanjwa au kutochanjwa?
5. Itoshe kukufahamisha kuwa, sioni jipya lolote katika yote uliyoandika. Labda unionyeshe wewe.
6. Kwa hakika umepwelewa. Huna hoja, wala agenda.

😂😂😂😂😂😂

Hiiiiii bagosha!

Kama taabu yako ni Hotuba ya Mh. Mbowe, hotuba yake iko huku wazi wazi:


Upotoshwaji wa hotuba hiyo na hata sababu zake pia ziko huko.

Kukuweka sawa sawa zaidi, mada hii tuliyo nayo hapa inahusu haya:



Tafadhali jiridhishe kuwa uko kwenye mada sahihi ninapo kukaribisha tena duniani.
 
Kwanza kabisa kubali huwezi kuiepuka Marekani, kwa sababu hata hapa tunatumia mtandao wa Marekani.

Tumalize hili kwanza kabla ya mengine.

One thing at a time.
 
Kwanza kabisa kubali huwezi kuiepuka Marekani, kwa sababu hata hapa tunatumia mtandao wa Marekani.

Tumalize hili jwanza kabla ya mengine.

One thing at a time.

Great! One thing at a time:

1. Karibu duniani.

2. Wapi unapoiokota statement hiyo ambayo ni kweli, "but totally irrelevant" kulingana na mada iliyopo mkononi?
 
Great one thing at a time:

1. Karibu duniani.

2. Wapi unapoiokota statement hiyo ambayo ni kweli, but totally irrelevant kulingana na mada iliyopo mkononi?
Unaandika one thing at a time halafu unapost mambo mawili.

Unajua kuhesabu?
 
Haya unayoyasema hapa unayarudia maana tumekwisha jadili kuhusu haya hapo awali.

Umeongelea masuala ya kidini, nami naongezea mengine kama matatizo ya kiafya kwa baadhi ya watu. Hizo ni exemptions zinazotambuliwa pia na sera hiyo ya mandatory vaccination.

Hizo exemptions hazizuii sera kutekelezwa ama kufanyiwa kazi.

Sera inaweza kutumika lakini pia baadhi ya watu wakatengwa na kuwekwa katika utaratibu mwingine wa afya kutokana na sababu hizo mbalimbali.

Mandatory vaccination sio lazima iwe kwa watu wote (population-wide), lakini inaweza ikawa population-wide kwa kupitia hatua mbalimbali kwanza.

Huo sio udikteta! Ni sera ya afya ambayo inakubalika kimataifa. Mandatory vaccination policy ambayo ni justifiable inatumika ili kuokoa maisha ya watu hasa wakati wa dharura. Huwezi kusema ni udikteta.
 
Unaandika one thing at a time halafu unapost mambo mawili.

Unajua kuhesabu?

Ninakazia ninajua kuhesabu ndiyo maana:

Swali Lako moja ulileta limejibiwa. Nami mimekuuliza moja ninasubiri majibu.

Au wewe hujui kuhesabu? Au huna majibu?
 
Wapi Mbowe kasema mandatory vaccination si lazima iwe kwa watu wote?

Kama si lazima kwa watu wote Tanzania, how is that mandatory kwa Watanzania?

Na ukishaweka exemptions kwa groups fulani, whats the point ya kulazimisha wengine wasiotaka chanjo wachanjwe?
 
You are the one who can't count.

Fucktard.

Straight to ignore list.

We meet on a common ground.

You are the one who can't count.

Fucktard!

Straight to ignore list.
 

Wapi panapolazimishwa mkuu?



Hii pia imekuwapo wazi wazi:

 
Tatizo, hausomi vyema kilichoandikwa. Unasoma tu ili mradi u-reply!

Hakuna anayelazimishwa kwa nguvu. Ila ukiamua kukataa, kuna huduma au ajira ambazo unaweza kuzikosa. Pia kuna sehemu ambazo unaweza usiruhusiwe kuingia hasa katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu.

Hiyo ni sera ambayo inakwenda kwa awamu kama ilivyo kwa nchi zingine kadhaa (usiitaje Marekani peke yake). Ndicho alichosema huyo Mbowe.

Ile video si umeileta wewe mwenyewe hapa? Au hata wewe mwenyewe haujaitazama?
 
Nimekuuliza swali wapi Mbowe kasema chanjo isiwe lazima kwa Watanzania?

Hujanionesha aliposema hivyo.

Halafu unanilaumu kwamba nakujibu bila kusoma ulichoandika.
 
Wewe hata hujui unachoongea, kwani siku zote unapougua kwa nini waga unajitibu kwa nini usijiachie tu ufe.
 
Exactly my point. Nadhani alisoma haraka haraka kunijibu.
 
Nimekuuliza swali wapi Mbowe kasema chanjo isiwe lazima kwa Watanzania?

Hujanionesha aliposema hivyo.

Halafu unanilaumu kwamba nakujibu bila kusoma ulichoandika.
Nimesema hivi, mandatory vaccination sio lazima iwe kwa watu wote (population-wide), lakini inaweza ikawa population-wide kwa kupitia awamu au hatua mbalimbali kwanza.

Yeye Mbowe amependekeza hiyo option ya pili, ukiitazama hiyo video mahali alipozungumza kuhusu "mandatory".
 
Kwa nini swali liwe mimi au wanasayansi wa Ulaya?

Where is this false dichotomy coming from?
Hebu ngoja kidogo, achana na hicho Kiingereza kwanza...

Umesema kwamba watu wanapaswa kupewa "chanjo nzuri"?

Ndiyo nakuuliza weye, huo uzuri wa chanjo unapimwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…