Ni upumbavu pia kuamini eti yule mwendakuzimu alikufa Sababu ya hivi vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Kasindano kenyewe wala hakaumi sekunde kadhaa tu unatimka,badae laabda utaskia vimaumivu kwa mbali begani.Kuna watu wanaogopa kuchomwa sindano.Mijoga kweli.πππππ
Unataka nikupelekee HOGO ?
La makengeza mbowe halikutoshi
View attachment 1860602
View attachment 1860603
Kasindano kenyewe wala hakaumi sekunde kadhaa tu unatimka,badae laabda utaskia vimaumivu kwa mbali begani.
Second dose soonπ
Sawa mwambie makengeneza mbowe akupeleke kwa kagame na museven maana wanafanana.Mkuu achana naye huyo. Hana lolote.
Si unasikia babu wa Loliondo ana kikombe cha kutibu na kuzuia Corona?
Huku ndiko tuliko sisi ambako Museveni na bwana Kagame walishatoka na ilipobidi ilikuwa ni kwa bakora.
Kama safari zako za kigoma,njombe madaba chuna tu,To be honest siko tayari kuchanjwa.......
Kama safari zako za kigoma,njombe madaba chuna tu,
ila ukiwa unakwea pipa hiyo ni lazima sio ombi huko nje hawataki uwapelekee maradhi.
Yule mchato ni unfit physically and mentally since day one ndo maana alikuwa wa kwanza kwenda kunywa kikombe cha babu loliondo, ni uonevu mkubwa mtu aliyekuwa na file lake kubwa pale milembe kumsingizia eti kafa Sababu ya vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.Kwamba?
πππππ
Ndiyo maana Loliondo babu ana kikombe kutibu Corona.
Hiiiiii bagosha!
Nakumbuka mwanzo wa NIDA watu walikataa wakidai ni mambo ya uFirimasoni lakini serikali ilipata jinsi ya kuwabana mpaka kila mtu akakimbilia kujisajili. Na hili la corona litakua hivo hivo serikali inasema ni hiyari lakini najua kuna jinsi itawabana watu mpaka kila mtu atakimbilia chanjo
Nahisi wewe ni ndugu yangu! Salute mkuuAcheni ukuda wenu.
Mimi nikifa wewe unaumia nini? Lazima lazima ndio sitakufa au?
Acheni mambo ya ajabu bana. Hata wakisema leo lazima, sichanji ni bora waniue kuliko kuchanja.
Et unachanja kisa li ugonjwa la kutunga. Ujinga bana. Nikichanja then what? Sitaumwa? Sitakufa? I fear nothing to die when right time comes..
Yule mchato ni unfit physically and mentally since day one ndo maana alikuwa wa kwanza kwenda kunywa kikombe cha babu loliondo, ni uonevu mkubwa mtu aliyekuwa na file lake kubwa pale milembe kumsingizia eti kafa Sababu ya vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Nahisi wewe ni ndugu yangu! Salute mkuu
Unajipa umuhimu wa kichoko sana Wewe nyumbu wa Mbowe π€£π€£π€£
Chanjo ndani ya mwaka mmoja jiulizeni tafiti ilichukua mda gani? Mpaka uhakika wa chanjo hiyo,,,,,Maisha ya watu hayawekwi rehani kiasi hicho tafadhal.
Chanjwa usiambukizwe, mnahofu gani na maisha yenu na wakati mna kinga ya chanjo? eti, unahofu ipi bwana mboweAtakuwa mkuu. Ndege wanaofanana huruma pamoja. Kuna mwingine huko Chatto pia.