Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1875501
Toa andiko kuthibitisha hoja yakoKijana Msabato? Wasabato hawaaminiki. Ni dini ya Kishetani iliyojivika ngozi ya Ukristo.
Acha kuishi kwa conspiracy theories mkuu, zitakuchanganya na utaona kila kitu hakiko sawa duniani.Wanaendelea sana tu
Acha kuishi kwa conspiracy theories mkuu, zitakuchanganya na utaona kila kitu hakiko sawa duniani.
Nimecheka baada ya kuona comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana![emoji23]
Unajuaje sasa...kama walishaanza na sasa ni mwendelezo tu!!?Hakuna sehemu chanjo imetajwa kwenye hiyo video yako.
Anayeongea hajulikani ni nani, hata wewe unaweza ongea hivyo ukaweka video
Kama wazungu wangetaka kutuua wangeshafanya hivyo siku nyingi na sio kusubiri Corona vaccine
Kuwa zinja shida sana.Wazungu wakitaka kutuua waafrica is just the matter of weeks
Mkuu hizo simu na kompyuta unayotumia unajua zina nini ndani?Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1875501
mods fanya ondoeni huu uchafu
hiyo ni fake news sio maoni..Na yeye ana uhuru wa kutoa maoni.. Unachotaka ww ndo kile kinaitwa udikteta
Mtasikia mengi mno mpaka mtachanganyikiwa: it's just simple - chanja kama unahitaji au achana na chanjo kama huhitaji.Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1875501
Mkuu ni usiku ila sauti ya kicheko imenitoka 😂😂 aseee..!Huyu ni nani anaongea kama Mungu?
🤣🤣Huyu ni nani anaongea kama Mungu?
Mtadanganyana sana na huo ujinga wa wachache wana tengeneza clip za uongo.Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]