Kwa hiyo wao hawatumii gharama kutumia hizo chanjo?.
Tuache kusingizia wazungu huku tukiacha majukumu yetu ya msingi.
 
Kuna ajenda ya siri kwenye ugonjwa wenyewe na chanjo zake.......ni sawa na muvi iliyokuwa ishatengenezwa kitambo sana na sasa ndo inaanza kuonyeshwa.
 

Hadi sasa tumeshatumia kiasi gani cha pesa kununua chanjo?

Mengine haya kwao Chatto.

Makunduchi hawawezi kuukubali utopolo kabila hii tena.
 
Hadi sasa tumeshatumia kiasi gani cha pesa kununua chanjo?

Mengine haya kwao Chatto.

Makunduchi hawawezi kuukubali utopolo kabila hii tena.
Dalali wa chanjo huyu Sasa.Vyama pinzani Dunia nzima walivuna
sana mpunga ,Ili wawe upande wa kusapoti chanjo ..chadema na ACT, NI MIONGONI MWAO.CHADEMA HAWAAMINIKI HAWA,WATAUZA NCHI ASUBUHI SANA.NDYO MAANA MBOE ALISEMA ETI CHANJO IWE LAZIMA KWA WATANZANIA WOTE.
HATA BUNGENI WALISUSA..HAWA NI MADALALI WA NCHI,BILA JPM TUNGEKUWA NA HALI MBAYA SANA
 
Halafu wewe utakuwa ni mzee lazima, ndio maana ukiokota porojo huko mtaani unaziunga mkono bila kujiuliza. Kwa hiyo hao wazungu wameona kuuza dawa kuna faida kuliko shughuli nyingine za kibiashara zilizosimama dunia nzima?
Tunanunua ndiyo!! Zile chanjo milioni moja ndo tulipewa bure na marekani kama chambo!! Baada ya hapo ni pesa! Mpango wa covax si bure kwa maana ya bure!!
 
Removing the vaccined. Tazama mpaka mwisho ufahamu technologia ya hizi chanjo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…