Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

Mbona kuna kiashiria cha wivu wa kimapenzi hivi kati yenu, unawezaje kushuhudia kwa macho yako kupitia mtu mwingine! Ungesema uliishi na mwathirika ningekuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke kaka zako wanaishi kwenye Fantasy 😅😅 watageuzwa mpaka waishe tusikwepeshe mambo tukiachana na ooh malezi ooh sijui nini! Wanaume wa skuizi wanapenda mseleleko jitu mpaka miaka 32 hajaoa anaogopa majukumu et ngoja wakusaidie wakulungwa
 
Ongezea na ya sahvi haya mamiziki na tamaduni zao

Ova
 
True ushoga ni kafara pia hata freemason wanafanya hii thus hakuna member yeyeto mwenye marinda hata kama ni mkuu wa kanisa.
Inaitwa humiliation ritual ipo tangu kale zama za dini ya nimrod enzi za Babel hata sasa wanafanya ili kupata nguvu ndo maana ya alama ya jicho kwenye piramidi zao
 
Wabunge na mawaziri, Mungu anawaona👉
 
Kuna hosp. fulani nilikwenda (Hosp. ya Rufaa mkoa fulani), kulikuwa na vijana wa intern, kuna kijana miongoni mwao hata hauhitaji kusimuliwa kuwa sio riziki..😢
 
Unamarafiki tena wakaribu ma bwabwaaa...angali kuna msemo ndege wa fananao.....
 
Ni kweli Kwa usemalo Kuna tajiri mwingine mkubwa alikuwa na jamaa ukimkuta sehemu ya biashara yake lazima uwe na walakini pia ilipelekea kutalakiana na mke wake Kwa sababu hiyo ingawa jambo jingine linalofanya hili jambo likue ni mambo ya kuona kuwa mtu atapata economic advantage akiwa uko , media zinaongelea Hilo mda mwingi, movie nyingi za western bila kuweka scene hizo wadhamini ni wachache , baadhi ya makanisa wanadhaminiwa na hizo society hivyo ni too much sh..t going on right now.
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!...da!!!!!,,,,,,,,,,,kwa ivo ukimla m2 KIBOGA mkwanja unakuja kivipi??? mbona sielewi???,,,,yaani mpunga unatokea kwenye makalio ya SHOGA kama PRINTER HP500 au?
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!...da!!!!!,,,,,,,,,,,kwa ivo ukimla m2 KIBOGA mkwanja unakuja kivipi??? mbona sielewi???,,,,yaani mpunga unatokea kwenye makalio ya SHOGA kama PRINTER HP500 au?
Wajinga wote mtoa mada pamoja na wachangiaji, hivo vitu hata kama vinafanywa ni fantasy za watu sio kwamba ni ushirikina
 
madogo mishipa ya hofu ilishakufa,...wanawaza pesa tu!
 
Uzi wa wazee wa expensive life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…