Kwahiyo mtoto wa kiume, akiwa anajiremba km wa kike, kujikwatua, kufuata na wanawake, ndo sababuu hii?
Ikiwa wanaume mtaacha kuwafata hao watu wa aina hii, hili ongezeko linatokeaje?
Sasa ngoja mie nikuambie ukweli halisi,
Ushoga unakuzwa na kusambazwa na wanaume wenyewee, kwa kua ndio wahusika haswaa. Hivi unakuta mtoto wa kiume ana hulka ya kike, akitaka kujichanganya na wanaume wenzake wanamkataa na kumtenga, Afu baadae hao hao wanamfata kwa siri kumtongoza as if ni mwanamke, tafakari hapo.
Yaan mwanamke anayeishi na shoga km rafiki yake mchana, na mwanaume anayelala na shoga km mke wake usiku, nani hapo anasambaza ushogaaa? Jibu unaloo.
Shida ya Wanaume wa Bongo ni unafikiii, kubalini kuwa nyie wenyewe ndo tatizo na suluhisho litapatikana hapo, ilaa hii ya kuwapakazia wanawake ni porojo zisizo na maana.
Ukwelii lazima usemweee!!!