Sahihi kabisaaUmesema tutoe majibu bila rejea ya popote si dini wala sayansi. Kwa ufupi umesema jibu liumbwe na akili na si kutengenezwa kutoka majibu ambayo tayari yapo katika historia.
Nikuulize, unaweza kusema wewe ni nani bila rejea yoyote? Embu tuambie, wewe ni nani? Jibu bila kuwahusisha wazazi wako wala binadamu wengine waliosema wewe ni binadamu. Tuambie wewe ni nani?
Kama una jibu basi hata swali ulilouliza lina jibu, kama huna basi hakuna jibu bila kuchimba rejea.
Ndo utoe mawazo yako hapo sasa 😂😂Sijui babe kichwa kiko moto 🤣maswali gani aya
Hapana kwa kweli 😂😂Ndo utoe mawazo yako hapo sasa 😂😂
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?
NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)
Nawasilisha.
Tumia akili yako vizuri, kwamba inawezekana vipi Dunia isiwe na chanzo ?Hakuna chanzo cha dunia
Aahahahaha wewe una maoni gani kuhusu jambo hilo ili tupate pakuanzia kwanzaTumia akili yako vizuri, kwamba inawezekana vipi Dunia isiwe na chanzo ?
Haya huyo mtamkaji yeye alitoka wapi na nini kilitumika kumuumba?
Aahahahaha wewe una maoni gani kuhusu jambo hilo ili tupate pakuanzia kwanza
At least umeanza kuniaelewa nataka nini ? Mtu anatakiwa kujibu on his/her own free mind, ndio tutapata chanzo
Kwahiyo kwa kifupi unaamini katika uumbajiMimi maoni yangu ni kuwa Dunia na vyote vilivyomo yupo aliye fanya vikawepo, na huyo aliyefanya vikawepo ana sifa hizi :
1. Mjuzi
2. Ana nguvu
3. Ana hekima
4. Hana chanzo
5. Mkamilifu
6. Ana huruma
7. Ana upendo
8. Muafilofu
9. Mwenye kubaki
Na sifa nyingine nzuri ambazo sijazitaja.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Uko sahihi kabisa.Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo chanzo
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Viumbe vyote havina na havihitaji kuwa na chanzo.
Kwahiyo kwa kifupi unaamini katika uumbaji
Define existence.Nakuuliza swali rahisi sana, nipe sababu tatu ya kwamba aliyefanya ulimwengu ukawepo lazima awe ameumbwa ?
Unakubali Kuna infinity series ? Kwamba ina exist ?
Je ni lazima kila kitu kilichopo duniani kina chanzo na mwisho?
Define existence.
Does it exist from no where? What is infinity? Is it the source of all things?
Chanzo cha mawe ni nini? Na mwisho wake ni nini?
Chanzo cha Ardhi ni nini? Na mwisho wake ni nini?
Ni kweli mkuu kuna muumba na mm naamini hivoo lakini mada haijataka tujibu kwa dini 🤣🤣 wala sayansi bali tutunie akili zetuuBila shaka kabisa, na anaye umba ni mmoja tu pekee.
1. Si lazim awe ameumbwa.Ulitakiwa kwanza ujibu swali langu kisha uulize nikujibu. Swali langu naliacha kiporo, uje kulijibu.
Ngoja nijibu maswali yako.
Uwepo ni hali ya kitu kudirikiwa katika hakika yake.
Haiwezekani kuwepo kitu from no where.
Infinity ni kisicho mpaka au mwisho. Hapana sio chanzo Cha kila kitu sababu hiyo ni hali, hali ambayo haimiliki, yaani haidhuru Wala kuathiri.
Usisahau kujibu swali nililo kuuliza.