Wewe unakula mchicha unakua na kuishi ipo siku na mchicha utakukula wewe ili uishi pia, wewe na mchicha mpo sawa katika mzunguko wa uhai katika maumbile tofauti tu ,ila ni kitu kimoja katika mduara.Ndo ivoo mkuu ni kama duara ambavo huwezi kujua chanzo chake ni wapi kama halikuwekwa alama
Umeqmbiwa njee ya diniIlikuwepo tu nawatu ndani yake chanzo ni Yesu ndi baba yake aliumba
Naamini katika uumbaji,Wewe unatetea nn kwani nikielewa hapo ndo itakuwa rahisi zaidi
Kwahiyo tutaliwa na michicha jamaniWewe unakula mchicha unakua na kuisha ipo siku na mchicha utakukula wewe ili uishi pia, wewe na mchicha mpo sawa katika mzunguko wa uhai katika maumbile tofauti tu ,ila ni kitu kimoja katika mduara.
Boss, hilo swali lina umri mkubwa sana kukushinda. Limekuwepo karne na karne. Hapa unachofanya ni kupokea majibu yaleyale yaliyokwishatolewa na waliozaliwa na kuishi miaka mingi nyuma kabla wewe hujazaliwa.At least umeanza kuniaelewa nataka nini ? Mtu anatakiwa kujibu on his/her own free mind, ndio tutapata chanzo
Chanzo cha dunia ni nafsi yako mwenyewe inapokuja duniani, na mwisho wa dunia ni nafsi yako inapokufa!!Kama hakuna chanzo cha dunia, kwanini kila kitu kilichopo ulimwenguni na dunia huwa kina chanzo na mwisho ? Je Chanzo cha Dunia, uhai na ulimwengu ni nini ?
Ila swali hilo kupata jibu sahihi linahitaji first hand experience ya source/God ambayo hata kwa kusoma vipi sidhani kama kuna definition itaelezea kama mdau mmoja alivyosema hapo juu,Tunakusubiria mkuu, Ahsante sana
Okay utaniweka upande wako , sema hii mada haitaki tutumie diniNaamini katika uumbaji,
Njee ya dini ipi sasaUmeqmbiwa njee ya dini
😁😁😁😁Ukifa kuna virutubisho mchicha utavipata kutoka kwako ambavyo wewe ulivipata kwa kula mchicha ,pia manii na yai vimetengenezwa na nishati za mimea na wanyama tunavyokula kama chakula. .Kwahiyo tutaliwa na michicha jamani
Swali rahisi tu nimekuuliza eleza na thibitisha chanzo cha ulimwengu, chanzo chake ni kipi?Napenda mijadala ya hivi na nondo ninazo za kutosha,ila tukipeana elimu hapa jf,kuna vivuruga wataharibu mjadala,..weekend moja tuunde group chat PM watu kumi tu,hadi mtu atoke damu,.timu yenu watu watano na kiranja wenu,nami ni add watu watano...najua hautakua mjadala wa Nani Bingwa, ila tutajua kipi ni kipi...
Sio kila kitu mwanadamu ni lazima akijueSwali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?
NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)
Nawasilisha.
Tupo tayari😁Mko tayari na majibu kuhusu chanzo cha ulimwengu huu?
Maana nikiwaangalia hawa manyumbu wa humu sidhani kama yupo hata mmoja anayeweza kuhimili majibu nitakayoyatoa?
Msitusumbue, msije kuanza kuhara kwa hofu hapa. Ngoja tujikalie kimya tu.
Cc: DR Mambo Jambo min -me mshamba_hachekwi Lamomy Poor Brain
Hatari😁😁😁😁Ukifa kuna virutubisho mchicha utavipata kutoka kwako ambavyo wewe ulivipata kwa kula mchicha ,pia manii na yai vimetengenezwa na nishati za mimea na wanyama tunavyokula kama chakula. .
Andaeni nepi kabisa, maana sio kwa kuhara kule.Tupo tayari😁
Hakuna chanzo ila uhai upo kwenye cycle tu yakutegemeana.Hatari
Umepata 2%... bado sana, ila jitahidi.Chanzo cha dunia ni nafsi yako mwenyewe inapokuja duniani, na mwisho wa dunia ni nafsi yako inapokufa!!
Swali nimeshajibu.Acha ulevi , jibu swali.!