min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wewe unakula mchicha unakua na kuishi ipo siku na mchicha utakukula wewe ili uishi pia, wewe na mchicha mpo sawa katika mzunguko wa uhai katika maumbile tofauti tu ,ila ni kitu kimoja katika mduara.Ndo ivoo mkuu ni kama duara ambavo huwezi kujua chanzo chake ni wapi kama halikuwekwa alama